Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yapiga ‘stop’ uchimbaji madini

Wizara ya Maliasili na Utalii, imepiga marufuku uchimbaji wa madini ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi.Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine,Michael Van Anen Mwakilishi Mwandamizi kutoka Benki ya Dunia ambaye pia ni mtaalamu wa madini kutoka idara ya nishati endelevu nchini Marekani,Bwa.Mamadou Barry akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KUKOMESHA UCHIMBAJI NA UUZAJI HARAMU WA MADINI

 Kamishna Msaidizi wa Madini, Sehemu ya Leseni, Mhandisi John Nayopa akifungua rasmi warsha kuhusu utekelezaji wa mpango wa kupambana na uchimbaji haramu wa rasilimali kwa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)  ujulikanao kama ICGLR Regional Initiative Against Illegal Exploitation of Natural Resources (RINR).
Washiriki wa warsha wakifuatilia uwasilishaji mada kuhusu utekelezaji wa mpango wa kupambana na uchimbaji haramu wa rasilimali kwa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)  ujulikanao...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yapiga mnada madini

>Serikali imeuza kwa mnada aina mbalimbali ya madini yenye thamani ya zaidi ya Sh100 milioni yaliyokamatwa wakati yakitoroshwa nje ya nchi.

 

9 years ago

StarTV

Serikali ya India kuanza kuwafundisha Watanzania Uchimbaji Bora Wa Madini

Serikali imeingia makubaliano na kituo cha  sayansi  na mazingira cha India CSE kutumia wataalamu wa kituo hicho kuja nchini kusaidia uchimbaji wa  madini ya makaa ya mawe ili ufanyike kwa ufanisi kwa kuzingatia uhifadhi wa mazingira na usalama.

Hatua hii ya Serikali inakuja kutokana na kuanza kwa uchimbaji mkubwa wa makaa ya mawe nchini ukiwemo unaoendelea Ngaka mkoani Ruvuma.

Imebainishwa kuwa ni muhimu kuwepo kwa mikakati mizuri ya kuhifadhi mazingira wakati wa uchimbaji na wakati wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yataka kampuni ya madini ya Shanta na wanakijiji cha Ikungi kumaliza tofauti zao waendelee na kazi za uchimbaji

IMG_1927

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (mwenye koti kulia) akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi na mchimbaji madini ya Gypsum kijijini Itigi, Ismael Ivata (kushoto).Viongozi hao walikuwa kwenye shimo linalochimbwa gypsum.

IMG_1904

Afisa Mwanadamizi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Shanta kijiji cha Sambaru wilaya ya Ikungi, Octavian Ndazi, akitoa taarifa yake kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (hayupo kwenye picha). Hata...

 

9 years ago

Habarileo

Wizara yapiga marufuku uchimbaji mchanga

SERIKALI imefuta vibali vyote vya uchimbaji mchanga katika wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma ili kunusuru vyanzo vya maji na mazingira.

 

10 years ago

Mwananchi

Leseni uchimbaji madini zafutwa

Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umesitisha utoaji wa leseni za uchimbaji madini ya ujenzi katika Jiji la Dar es Salaam ili kuokoa mazingira.

 

10 years ago

Habarileo

Leseni sita za uchimbaji madini zatolewa

SERIKALI imesema kuwa leseni zote za madini zikiwemo za utafiti, uchimbaji na zile za kuhodhi maeneo, zitakaguliwa baada ya miezi sita baada ya kutolewa kwa wamiliki ili kuhakikisha kuwa maeneo yaliyoombewa leseni, yanaendelezwa.

 

11 years ago

Mwananchi

MADINI: Anguko la bei latikisa uchimbaji wa urani

>Wakati Tanzania ikitarajia kuanza kufaidika na madini ya urani, huenda ndoto hiyo isitimie hivi karibuni kutokana na anguko kubwa la bei ya madini hayo katika soko la dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani