Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara yapiga marufuku uchimbaji mchanga

SERIKALI imefuta vibali vyote vya uchimbaji mchanga katika wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma ili kunusuru vyanzo vya maji na mazingira.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA APIGA MARUFUKU UCHIMBAJI MCHANGA MTO MBEZI NA KAWE

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na wakazi wa Mbezi na Kawe Ukwamani ambao nyumba zao zilibomoka kutokana na mmomonyoko wa ardhi uliosababishwa na shughuli za kibinadamu kama vile uchimbaji wa mchanga katika mto huo hali iliyosababisha kingo za mto huo kupanuka hadi kwenye makazi ya watu. Makonda aliwatembelea wakazi hao Dar es Salaam jana. DC Makonda akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wakati alipo watembelea waathiriwa hao. Wananchi wakiwa katika maeneo hayo...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA APIGA MARUFUKU UCHIMBAJI MCHANGA MTO MBEZI NA KAWE‏

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na wakazi wa Mbezi na Kawe Ukwamani ambao nyumba zao zilibomoka kutokana na mmomonyoko wa ardhi uliosababishwa na shughuli za kibinadamu kama vile uchimbaji wa mchanga katika mto huo hali iliyosababisha kingo za mto huo kupanuka hadi kwenye makazi ya watu. Makonda aliwatembelea wakazi hao Dar es Salaam jana.  DC Makonda akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wakati...

 

11 years ago

Michuzi

Yaleyaleeee......uchimbaji mchanga mto mbezi jijini Dar es salaam waendelea kama kawa

 Pamoja na kupigwa marufuku mara kadhaa wachimabji hawa bado wameendelea kuchimba mchanga katika Mto Mbezi huku wakijaza magari makubwa yasiyo na idadi na tena wakifanya kazi hii mchana kweupeeee pyeeee  bila hata kuwa na woga.  Wachimbaji hawa wamekuwa wakifanya hivi kila inaponyesha mvua kubwa inayokusanya mchanga mwingi kutoka eneo jingine kusogeza eneo hili, na wao wamekuwa wakiuhamisha mchanga huo kwa kuuchimba na kuupakia katika magari na kisha kwenda kuuza. Zoezi hili linachangia...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yapiga ‘stop’ uchimbaji madini

Wizara ya Maliasili na Utalii, imepiga marufuku uchimbaji wa madini ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.

 

11 years ago

Mwananchi

Wachimba mchanga, ‘vigodoro’ wapigwa marufuku Dar es Salaam

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam imechukua uamuzi mgumu wa kupiga marufuku baadhi ya mambo yaliyozoeleka kwa wakazi wa jiji hili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yapiga marufuku ‘vigodoro’

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku kumbi zote za starehe kupiga disko toto pamoja na disko vumbi maarufu kama ‘vigodoro’ ili kuepusha fujo katika kusherehekea...

 

11 years ago

BBCSwahili

S.Leone yapiga marufuku Kandanda

Mechi zote za kandanda nchini Sierra Leone zimepigwa marufuku kuzuia kuenea zaidi kwa Ebola

 

9 years ago

BBCSwahili

Somalia yapiga marufuku Krismasi

Serikali ya Somalia imepiga marufuku sherehe za kuadhimisha sikukuu ya Krismasi katika mji mkuu wa Mogadishu.

 

9 years ago

Mwananchi

KKKT Karanga yapiga marufuku vimini

Usharika wa Karanga wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Dayosisi ya Kaskazini, umepiga marufuku uvaaji wa nguo zisizo na heshima ndani ya kanisa hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani