SERIKALI KUKOMESHA UCHIMBAJI NA UUZAJI HARAMU WA MADINI
Kamishna Msaidizi wa Madini, Sehemu ya Leseni, Mhandisi John Nayopa akifungua rasmi warsha kuhusu utekelezaji wa mpango wa kupambana na uchimbaji haramu wa rasilimali kwa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ujulikanao kama ICGLR Regional Initiative Against Illegal Exploitation of Natural Resources (RINR).
Washiriki wa warsha wakifuatilia uwasilishaji mada kuhusu utekelezaji wa mpango wa kupambana na uchimbaji haramu wa rasilimali kwa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ujulikanao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi15 Sep
BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Serikali yapiga ‘stop’ uchimbaji madini
9 years ago
StarTV18 Nov
Serikali ya India kuanza kuwafundisha Watanzania Uchimbaji Bora Wa Madini
Serikali imeingia makubaliano na kituo cha sayansi na mazingira cha India CSE kutumia wataalamu wa kituo hicho kuja nchini kusaidia uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe ili ufanyike kwa ufanisi kwa kuzingatia uhifadhi wa mazingira na usalama.
Hatua hii ya Serikali inakuja kutokana na kuanza kwa uchimbaji mkubwa wa makaa ya mawe nchini ukiwemo unaoendelea Ngaka mkoani Ruvuma.
Imebainishwa kuwa ni muhimu kuwepo kwa mikakati mizuri ya kuhifadhi mazingira wakati wa uchimbaji na wakati wa...
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Serikali yataka kampuni ya madini ya Shanta na wanakijiji cha Ikungi kumaliza tofauti zao waendelee na kazi za uchimbaji
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (mwenye koti kulia) akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi na mchimbaji madini ya Gypsum kijijini Itigi, Ismael Ivata (kushoto).Viongozi hao walikuwa kwenye shimo linalochimbwa gypsum.
Afisa Mwanadamizi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Shanta kijiji cha Sambaru wilaya ya Ikungi, Octavian Ndazi, akitoa taarifa yake kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (hayupo kwenye picha). Hata...
11 years ago
Mwananchi23 May
Tushirikiane kukomesha uchimbaji huu
10 years ago
MichuziVIONGOZI WA TANZANIA NA KENYA WAKUBALIANA KUKOMESHA BIASHARA HARAMU YA MAZAO YA MISITU
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Leseni uchimbaji madini zafutwa
10 years ago
Habarileo04 Nov
Leseni sita za uchimbaji madini zatolewa
SERIKALI imesema kuwa leseni zote za madini zikiwemo za utafiti, uchimbaji na zile za kuhodhi maeneo, zitakaguliwa baada ya miezi sita baada ya kutolewa kwa wamiliki ili kuhakikisha kuwa maeneo yaliyoombewa leseni, yanaendelezwa.
9 years ago
Bongo Movies30 Dec
Picha: Richie Ajikita Kwenye Uchimbaji wa Madini
Staa mkongwe wa Bongo Movies, Single Mtambalike ‘Richie’ amewadokeza mashabiki wake kuwa mbali na uigizaji na utengenezaji wa filamu huwa anajishughulisha na uchimbaji wa madini.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, Richie amebandika picha akiwa majimbona na wawekezaji na kuandika;
“Wakati mwingine najihusisha na uchimbaji madini.”Kisha akaendelea;
“Karibuni sana wawekezaji nina maeneo ya kutosha yenye mali nyingi tatizo fifaa vya kutosha.”
Hizi ni baadhi ya picha