Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Richie Ajikita Kwenye Uchimbaji wa Madini

Staa mkongwe wa Bongo Movies, Single Mtambalike ‘Richie’ amewadokeza mashabiki wake kuwa mbali na uigizaji na utengenezaji wa filamu huwa anajishughulisha na uchimbaji wa madini.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, Richie amebandika picha akiwa majimbona na wawekezaji na kuandika;
“Wakati mwingine najihusisha na uchimbaji madini.”Kisha akaendelea;
“Karibuni sana wawekezaji nina maeneo ya kutosha yenye mali nyingi tatizo fifaa vya kutosha.”

Hizi ni baadhi ya picha

RICHIE992 RICHIE33 RICHIE876 RICHIE23

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Picha: JB ,Richie na Mzee Majuto Wakiwa Kwenye Tamasha la Amani-Mwanza

Hizi ni baahi ya picha za wasanii, Jacob Stepeh ‘JB’, Single Mtambalike ‘Richie’ , Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ na Mzee Matuto wakiwa kawenye tamasha la Amani jiji Mwanza leo hii, ambapo mbali na kuombea amani kwenye nchi yetu, tamsha hili linabeba ujumbe mzito kukemea mauaji na watu walemavu wa ngozi  (Albino).

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA : Movie Mpya ya Richie..Hakika Itakuwa Kwenye Viwango vya Juu!!

Kupitia mtandaoni, mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini, Single Mtambalike “Richie” alitupia baadhi ya picha za kwenye movie mpya ambayo itakwenda kwa jina la “NDIO HIVYO” .

Wadau wengi wameonyesha kuisubiri kwahamu kubwa kwani picha hizi za awali zimeonyesha kuwa movie hiyo itakuwa kwenye kiwango cha juu zaidi tofauti na movie nyingi ambazo huwa hazina uhalisia hasa linapokwuja swala la kuigiza “sini”za mahakamani , gerezani na hata polisi.

Lakini hii sasa ninaonekana itakuja na...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi.Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine,Michael Van Anen Mwakilishi Mwandamizi kutoka Benki ya Dunia ambaye pia ni mtaalamu wa madini kutoka idara ya nishati endelevu nchini Marekani,Bwa.Mamadou Barry akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Leseni uchimbaji madini zafutwa

Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umesitisha utoaji wa leseni za uchimbaji madini ya ujenzi katika Jiji la Dar es Salaam ili kuokoa mazingira.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yapiga ‘stop’ uchimbaji madini

Wizara ya Maliasili na Utalii, imepiga marufuku uchimbaji wa madini ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.

 

10 years ago

Habarileo

Leseni sita za uchimbaji madini zatolewa

SERIKALI imesema kuwa leseni zote za madini zikiwemo za utafiti, uchimbaji na zile za kuhodhi maeneo, zitakaguliwa baada ya miezi sita baada ya kutolewa kwa wamiliki ili kuhakikisha kuwa maeneo yaliyoombewa leseni, yanaendelezwa.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KUKOMESHA UCHIMBAJI NA UUZAJI HARAMU WA MADINI

 Kamishna Msaidizi wa Madini, Sehemu ya Leseni, Mhandisi John Nayopa akifungua rasmi warsha kuhusu utekelezaji wa mpango wa kupambana na uchimbaji haramu wa rasilimali kwa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)  ujulikanao kama ICGLR Regional Initiative Against Illegal Exploitation of Natural Resources (RINR).
Washiriki wa warsha wakifuatilia uwasilishaji mada kuhusu utekelezaji wa mpango wa kupambana na uchimbaji haramu wa rasilimali kwa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)  ujulikanao...

 

11 years ago

Mwananchi

MADINI: Anguko la bei latikisa uchimbaji wa urani

>Wakati Tanzania ikitarajia kuanza kufaidika na madini ya urani, huenda ndoto hiyo isitimie hivi karibuni kutokana na anguko kubwa la bei ya madini hayo katika soko la dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani

Used TOYOTA Cars for Sale