PICHA : Movie Mpya ya Richie..Hakika Itakuwa Kwenye Viwango vya Juu!!
Kupitia mtandaoni, mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini, Single Mtambalike “Richie” alitupia baadhi ya picha za kwenye movie mpya ambayo itakwenda kwa jina la “NDIO HIVYO” .
Wadau wengi wameonyesha kuisubiri kwahamu kubwa kwani picha hizi za awali zimeonyesha kuwa movie hiyo itakuwa kwenye kiwango cha juu zaidi tofauti na movie nyingi ambazo huwa hazina uhalisia hasa linapokwuja swala la kuigiza “sini”za mahakamani , gerezani na hata polisi.
Lakini hii sasa ninaonekana itakuja na...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfgZhlZeIvMNhcq25RyjoO0NqNmI7v7oJpWrj4zO9KEcUTk*RjZ*ur2oSoO2kz*bNsxqWUoMJEzOGAX3e0hyrs0c/BARUANZITO.jpg)
RICHIE SASA UMEANZA KUIRUDISHA BONGO MOVIE KWENYE MSTARI!
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
Nyuma ya Kamera: KALEKWA Ndio Jina la Movie Mpya ya Richie na Rose Ndauka
Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera zilizopiga wakiwa ON SET kwenye utengenezaji wa filamu mpya itakayoitwa KALEKWA, inayofanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment.
Movie hii mpya itawajumisha waigizaji wakali wengi wakiwemo Single matambalike “Richie”ambae ndio mwongozaji wa filamu hii na pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Bulls Entertainment na mwanadada Rose Ndauka amabao kwa pamoja wamekuwa wakitoa vitu vikali sana.
Tunaisubiri kwa hamu!!!.
9 years ago
Bongo Movies30 Dec
Picha: Richie Ajikita Kwenye Uchimbaji wa Madini
Staa mkongwe wa Bongo Movies, Single Mtambalike ‘Richie’ amewadokeza mashabiki wake kuwa mbali na uigizaji na utengenezaji wa filamu huwa anajishughulisha na uchimbaji wa madini.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, Richie amebandika picha akiwa majimbona na wawekezaji na kuandika;
“Wakati mwingine najihusisha na uchimbaji madini.”Kisha akaendelea;
“Karibuni sana wawekezaji nina maeneo ya kutosha yenye mali nyingi tatizo fifaa vya kutosha.”
Hizi ni baadhi ya picha
10 years ago
Bongo Movies28 Feb
Picha: JB ,Richie na Mzee Majuto Wakiwa Kwenye Tamasha la Amani-Mwanza
Hizi ni baahi ya picha za wasanii, Jacob Stepeh ‘JB’, Single Mtambalike ‘Richie’ , Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ na Mzee Matuto wakiwa kawenye tamasha la Amani jiji Mwanza leo hii, ambapo mbali na kuombea amani kwenye nchi yetu, tamsha hili linabeba ujumbe mzito kukemea mauaji na watu walemavu wa ngozi (Albino).
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Viwango vya juu vya joto vitakumba Dunia
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf0Y3wHmDhpyB3aL5E7G2WUtSfvaF*fLlD5vUDosOPE7KQo9BCJqjkfWMCgpxId1JDBu3g9WJyPkg59HMCO7xAUO/bongo.jpg?width=650)
RICHIE: TUMEBWIA FEDHA ZA BONGO MOVIE
10 years ago
Bongo Movies05 Feb
PICHA: Kutana na Zuwena na Erick Kutoka kwenye Movie ya Girlfriend
Ni zaidi ya miaka kumi imepita toka movie ya Girlfriend kutoka, itabaki kuwa ni moja kati ya movie aliyoleta hamasa kubwa kwa wadau kuingia kwenye utengenezaji wa filamu zakibongo,leo hii tasnia ya filamu imekua na filamu kibao zimeshatoka lakini wengi wanasema kuwa movie ya Girlfriend kwao ndio bora zaidi kwa movie za kibongo.
Wewe je unaikumbuka hii? Nani alikufurahisha zaidi? Karibu tukumbushane
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
CWT Singida yapinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu
Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida Aran Jumbe, akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za chama hicho kuhusiana na tamko la chama juu ya kupinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
Chama cha Walimu CWT kimetoa tamko la kupinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa...
9 years ago
Bongo503 Oct
Hii orodha mpya ya viwango vya soka duniani FIFA, Tanzania yashika nafasi ya 136