Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hii orodha mpya ya viwango vya soka duniani FIFA, Tanzania yashika nafasi ya 136

Shirikisho la soka duniani Fifa limetangaza viwango vya ubora vya mchezo wa soka kwa mwezi Septemba ambapo Argentina wanaendelea kuongoza katika chati hiyo. Mabingwa wa dunia Ujerumani wanashika nafasi ya pili, huku Ubelgiji wakishika nafasi ya tatu katika viwango vya ubora. Algeria ndio taifa la Afrika linaloongoza likiwa nafasi ya 19 huku Ivory Coast wakiwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yashika nafasi ya 100 Fifa

Wakati mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ukianza mjini Morogoro kesho, Tanzania imepanda kwenye ubora kulingana na viwango vipya vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).

 

10 years ago

BBCSwahili

Fifa yataja viwango vya ubora wa soka

Tanzania na Uganda zimeshuka katika viwango ya FIFA vilivyotolewa wiki hii huku Kenya , Sudan na Rwanda zikipanda.

 

10 years ago

BBCSwahili

Fifa yatoa viwango vipya vya soka .

FIFA imetoa viwango vipya vya soka duniani ,Tanzania na Rwanda zikishuka wakati Kenya, Uganda na Burundi zikipanda viwango.

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO VYA FIFA

SHIRIKISHO la Soka la Dunia (Fifa) limetangaza viwango vipya vya ubora wa soka duniani kwa Agosti, 2014 huku Tanzania ikiporomoka kwa nafasi nne kutoka 106 hadi 110. Katika orodha hiyo iliyotolewa leo Agosti 14, 2014 Ujerumani ndiyo vinara wakifuatiwa na Argentina, Uholanzi, Colombia, Ubelgiji, Uruguay, Hispania, Brazil, Switzerland na Ufaransa.

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YAZIDI KUSHUKA VIWANGO VYA FIFA

SHIRIKISHO la Soka la Dunia (Fifa) limetangaza viwango vipya vya ubora wa soka duniani kwa mwezi Septemba, 2014 huku Tanzania ikishuka kwa nafasi tano kutoka 110 hadi 115. Tanzania imeonyesha kuzidi kuporomoka katika viwango hivyo baada ya orodha ya Agosti 14, 2014 kushika nafasi ya 110 ikiwa imeshuka nafasi nne kutoka ya 106. Katika orodha hiyo iliyotolewa leo Septemba 18, 2014 Ujerumani ndiyo vinara katika 10 bora wakifuatiwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenya yapanda nafasi 27 katika orodha ya FIFA

Licha ya kuondolewa katika kinyang'anyiro cha kufuzu kwa kombe la dunia Harambee Stars ya Kenya imepanda nafasi 27 inaorodheshwa katika nafasi ya 25 barani Afrika na 98 duniani.

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIKA NAFASI YA 82 KWA UHURU WA KIUCHUMI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Initiative for Policy & Education(UIPE), Isack Dornad akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leoBaadhi ya waandishi wa  habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Initiative for Policy & Education(UIPE), Isack Dornad  jijini Dar es Salaam leo. Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.
Na Zainabu Hamis, Globu ya JamiiTANZANIA ni miongoni mwa nchi 100 Duniani zilizo huru Kiuchumi, pia imeshika nafasi ya 82 ya Uhuru wa Kiuchumi Dunia kwa...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA U15 TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI AYG

Tanzania imeshika nafasi ya pili kwenye Michezo ya Afrika kwa Vijana (AYG) kwa upande wa mpira wa miguu kwa vijana wenye umri chini ya miaka 15 baada ya jana (Mei 29 mwaka huu) kuilaza Afrika Kusini mabao 2-0.

Mechi hiyo ilichezwa Uwanja wa SSKB jijini Gaborone ambapo kwa matokeo hayo Tanzania imetwaa medali ya fedha baada ya kushika nafasi ya pili. Nigeria ndiyo ilishika nafasi ya kwanza na kutwaa medali ya dhahabu.
Tanzania imemaliza ikiwa na pointi kumi ambapo ilishinda mechi tatu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani