Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAZIDI KUSHUKA VIWANGO VYA FIFA

SHIRIKISHO la Soka la Dunia (Fifa) limetangaza viwango vipya vya ubora wa soka duniani kwa mwezi Septemba, 2014 huku Tanzania ikishuka kwa nafasi tano kutoka 110 hadi 115. Tanzania imeonyesha kuzidi kuporomoka katika viwango hivyo baada ya orodha ya Agosti 14, 2014 kushika nafasi ya 110 ikiwa imeshuka nafasi nne kutoka ya 106. Katika orodha hiyo iliyotolewa leo Septemba 18, 2014 Ujerumani ndiyo vinara katika 10 bora wakifuatiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO VYA FIFA

SHIRIKISHO la Soka la Dunia (Fifa) limetangaza viwango vipya vya ubora wa soka duniani kwa Agosti, 2014 huku Tanzania ikiporomoka kwa nafasi nne kutoka 106 hadi 110. Katika orodha hiyo iliyotolewa leo Agosti 14, 2014 Ujerumani ndiyo vinara wakifuatiwa na Argentina, Uholanzi, Colombia, Ubelgiji, Uruguay, Hispania, Brazil, Switzerland na Ufaransa.

 

9 years ago

Bongo5

Hii orodha mpya ya viwango vya soka duniani FIFA, Tanzania yashika nafasi ya 136

Shirikisho la soka duniani Fifa limetangaza viwango vya ubora vya mchezo wa soka kwa mwezi Septemba ambapo Argentina wanaendelea kuongoza katika chati hiyo. Mabingwa wa dunia Ujerumani wanashika nafasi ya pili, huku Ubelgiji wakishika nafasi ya tatu katika viwango vya ubora. Algeria ndio taifa la Afrika linaloongoza likiwa nafasi ya 19 huku Ivory Coast wakiwa […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Fifa yatoa viwango vipya vya soka .

FIFA imetoa viwango vipya vya soka duniani ,Tanzania na Rwanda zikishuka wakati Kenya, Uganda na Burundi zikipanda viwango.

 

10 years ago

BBCSwahili

Fifa yataja viwango vya ubora wa soka

Tanzania na Uganda zimeshuka katika viwango ya FIFA vilivyotolewa wiki hii huku Kenya , Sudan na Rwanda zikipanda.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yashuka tena viwango Fifa

>Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limetoa viwango vipya vya ubora, huku Tanzania ikiporomoka kwa nafasi 12, kiasi cha kuwaumiza wadau wa soka nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania yazidi kupotea Fifa

TANZANIA imeendelea kufanya vibaya kwenye nafasi ya ubora wa viwango vya Fifa na sasa imeporomoka mpaka nafasi ya 140 kutoka 139 mwezi uliopita.

 

10 years ago

Habarileo

Mafuta yazidi kushuka bei

Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix NgamlagosiMAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka zaidi kwa bei za bidhaa za mafuta hapa nchini kuanzia leo, kutokana na bei katika soko la dunia kuendelea kuporomoka.

 

9 years ago

Mtanzania

Bei ya Petroli yazidi kushuka

FELIX NGAMLAGOS.MKURUGENZI EWURA TZNa Maneno Selanyika, Dar es Salaam

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa, ikilinganishwa na bei ya mwaka jana.

Taarifa iliyotolewa na EWURA jana na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu wake, Felix Ngamlagosi, ilieleza kuwa bei hiyo elekezi itaanza kutumika kuanzia leo Januari 6.

Ngamlagosi alitaja sababu mojawapo ya kupungua kwa bei za mafuta ni kushuka kwa  bei za mafuta katika soko la dunia, pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani