Tanzania yazidi kupotea Fifa
TANZANIA imeendelea kufanya vibaya kwenye nafasi ya ubora wa viwango vya Fifa na sasa imeporomoka mpaka nafasi ya 140 kutoka 139 mwezi uliopita.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
TANZANIA YAZIDI KUSHUKA VIWANGO VYA FIFA
10 years ago
BBCSwahili21 Aug
Michoro ya kihistoria kupotea Tanzania?
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Ndege nne ziliwahi kupotea Tanzania
10 years ago
Mtanzania28 Sep
Tanzania yazidi kunufaika na uwekezaji
Na Enock Bwigabe, TUDARCO
KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kimesema Tanzania imepata uwekezaji wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 100 zitakazochangia katika uboreshaji wa utalii na masuala ya uhifadhi nchini.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana, ilisema uwekezaji huo ulithibitishwa mwanzoni mwa mwezi huu kupitia Kamati ya Uendeshaji ya Uwezeshaji ya Taifa (NISC) iliyokuwa chini ya Uenyekiti wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo,...
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Shilingi ya Tanzania yazidi kuporomoka
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Tanzania yazidi kujiimarisha kiulinzi-Kikwete
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Tanzania yazidi kufanya kweli Botswana
TIMU ya Tanzania chini ya miaka 15, imeendelea kung’ara kwenye Michezo ya Afrika kwa Vijana (AYG) kwa upande wa soka baada ya kuichapa Swaziland mabao 3-0. Mabao ya Tanzania katika...
11 years ago
Habarileo31 Jan
Tanzania yazidi kung’ara kimataifa
TANZANIA imeendelea kupata miradi mikubwa ya maendeleo ya kimataifa, ambapo sasa imeibuka kuwa mshindi kimataifa na kukubaliwa kuanzisha mradi mkubwa wa Kanda ya Kati wa Uchukuzi. Mradi huo utakaohusisha miundombinu ya reli, barabara na bandari unatarajiwa kuanza kutekelezwa wakati wowote nchini.