Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michoro ya kihistoria kupotea Tanzania?

Michoro ya kwenye miamba iliyo mkoani Dodoma katikati mwa Tanzania, imeelezwa kuwa iwapo haitatunzwa vizuri

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

China na Tanzania kuendelea kushirikiana katika Sanaa za michoro, ikiwemo ya Tingatinga

ch 1Balozi wa China nchini Tanzania Dr. Lu Younq ing akiongea na baadhi ya wasanii wa sanaa ya uchoraji  wa Tingatinga katika hafla ya utoaji wa  Tuzo  la Mashindano ya Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania iliyofanyika leo  jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zimetolewa kwa  ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. Tuzo hizo zimetolewa kwa  ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. (Picha na Benjamin Sawe- WHVUM)

ch 3

ch 2

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi....

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania yazidi kupotea Fifa

TANZANIA imeendelea kufanya vibaya kwenye nafasi ya ubora wa viwango vya Fifa na sasa imeporomoka mpaka nafasi ya 140 kutoka 139 mwezi uliopita.

 

11 years ago

Mwananchi

Ndege nne ziliwahi kupotea Tanzania

>Wakati tukio la kupotea kwa ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia, MH370, linaendelea kuitikisa dunia, imebainika kuwa Tanzania si jambo jipya kutokana na kuwapo kwa kumbukumbu ya matukio manne tofauti kama hayo katika miongo minane iliyopita

 

11 years ago

Tanzania Daima

Twiga hutofautishwa kwa michoro

KATIKA sehemu ya pili ya mfululizo wa simulizi kuhusu twiga tuliona kuwa mtawanyiko wa mnyama huyu duniani uliathiriwa sana na mabadiliko ya hali ya hewa. Kutoweka kwa misitu kutokana na...

 

10 years ago

Vijimambo

PITIA MICHORO HII YA TATTOO

Huyu ni bingwa wa tattoo hadi kwenye macho kwajina anaitwa Rato  hadi ulimi ameuchana katikati hapo ndiyo utakavyo kubari kuwa huyu Rato ni mnyambisi.Mgongi unakutana na hii pichaRato ni shidaHuyo anachorwa Batman mgongoniUwezi kuwa mume mke wa hawa jamaa hadi na wewe uwe mgonjwa wa mambo haya ya michoro siyo bure kila siku ubavuni mwako na mnategemea kupata watoto hapo usije kumlahumu mungu mkipata vampire.Hii ilikuwa wiki ya matattoo iliyofanyika huko Brazil hapa Rato akiwa na mshirika...

 

9 years ago

Mtanzania

Nikki wa Pili: Sipendi michoro ya tattoo

???????????????????????????????NA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa Bongo Fleva, Nickson Saimon ‘Nikki Wa Pili’ amesema michoro ya tattoo wanayojichora watu wengi maarufu ni fasheni, hivyo ipo siku itapita na kuonekana haina maana tena, ndiyo maana yeye haipendi.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Nikki wa Pili alisema kuwa sifa moja ya fasheni ni kuvuma na kupotea, hivyo ana hofu ya kuchora tattoo kwa kuwa itafika kipindi michoro hiyo itakuwa siyo ujanja tena.

“Ile ni fasheni, watu wanachora na wanapendeza, lakini hawajui kuwa...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio michoro kwenye Matatu 9 za Wakenya zilizonibamba zaidi leo

Mitaa ya Nairobi ina kitu kizuri ambacho kama ni mgeni unaweza kujikuta unaishia tu kuziangalia matatu zinavyokatisha ukasahau mpaka ulikuwa unaenda wapi !! Kama wewe ni mpenzi wa graffiti mtu wangu Nairobi ndio mahali pa kwako sasa !! Matatu zimegongwa michoro ya kila aina, mdundo wa muziki wake humo ndani sasa ndio balaa yani. Nimezipata […]

The post Hii ndio michoro kwenye Matatu 9 za Wakenya zilizonibamba zaidi leo appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Bongo5

Nikki Wa Pili asema hapendi michoro ya tattoo kwa sababu ni fasheni itakayopotea

Nikki tattoo

Rapper wa kundi la Weusi, Nickson Simon maarufu kama Nikki Wa Pili amesema michoro ya tattoo wanayojichora watu wengi maarufu ni fasheni, hivyo ipo siku itapita na kuonekana haina maana tena, ndiyo maana yeye haipendi.

Nikki tattoo

Akizungumza na MTANZANIA, Nikki alisema kuwa sifa moja ya fasheni ni kuvuma na kupotea, hivyo ana hofu ya kuchora tattoo kwa kuwa itafika kipindi michoro hiyo itakuwa siyo ujanja tena.

“Ile ni fasheni, watu wanachora na wanapendeza, lakini hawajui kuwa sifa kubwa ya fasheni...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio michoro kwenye Matatu 9 za Wakenya iliyonibamba zaidi leo.. (+Pichaz)

Mitaa ya Nairobi ina kitu kizuri ambacho kama ni mgeni unaweza kujikuta unaishia tu kuziangalia matatu zinavyokatisha ukasahau mpaka ulikuwa unaenda wapi !! Kama wewe ni mpenzi wa graffiti mtu wangu Nairobi ndio mahali pa kwako sasa !! Ukiwa TZ tunaziita ‘Daladala‘, lakini Kenya wenyewe wanaziita ‘Matatu‘.. gari hizo zimegongwa michoro ya kila aina, mdundo […]

The post Hii ndio michoro kwenye Matatu 9 za Wakenya iliyonibamba zaidi leo.. (+Pichaz) appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani