Nikki Wa Pili asema hapendi michoro ya tattoo kwa sababu ni fasheni itakayopotea
Rapper wa kundi la Weusi, Nickson Simon maarufu kama Nikki Wa Pili amesema michoro ya tattoo wanayojichora watu wengi maarufu ni fasheni, hivyo ipo siku itapita na kuonekana haina maana tena, ndiyo maana yeye haipendi.
Akizungumza na MTANZANIA, Nikki alisema kuwa sifa moja ya fasheni ni kuvuma na kupotea, hivyo ana hofu ya kuchora tattoo kwa kuwa itafika kipindi michoro hiyo itakuwa siyo ujanja tena.
“Ile ni fasheni, watu wanachora na wanapendeza, lakini hawajui kuwa sifa kubwa ya fasheni...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania24 Nov
Nikki wa Pili: Sipendi michoro ya tattoo
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa Bongo Fleva, Nickson Saimon ‘Nikki Wa Pili’ amesema michoro ya tattoo wanayojichora watu wengi maarufu ni fasheni, hivyo ipo siku itapita na kuonekana haina maana tena, ndiyo maana yeye haipendi.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Nikki wa Pili alisema kuwa sifa moja ya fasheni ni kuvuma na kupotea, hivyo ana hofu ya kuchora tattoo kwa kuwa itafika kipindi michoro hiyo itakuwa siyo ujanja tena.
“Ile ni fasheni, watu wanachora na wanapendeza, lakini hawajui kuwa...
9 years ago
Bongo528 Oct
Nyimbo 3 mpya za Weusi hazitatoka tena wiki hii, Nikki Wa Pili aeleza sababu
10 years ago
Vijimambo04 Feb
PITIA MICHORO HII YA TATTOO
10 years ago
CloudsFM05 May
Nikki Mbishi amjibu Nikki wa Pili
Jana kwenye ukurasa wa Instagrama wa @Cloudsfmtz waliposti mambo ambayo Nikki wa Pili aliyaandika ili kuwapa husia wasanii wanao kuja kuwa na style yao tofauti katika muziki huu wa Hip Hop pia alielezea ni kwa jinsi gani wasanii wa HipHop wa zamani ambavyo wamekuwa hawafanyi vizuri na mambo mengi alizungumzia kuhusiana na muziki wa Hip Hop Sasa baada ya Cloudsfm kupost Nikki Mbishi akaona na akibidi amjibu Nikki Wa Pili kwa kumwambia Kama wewe unafanya na uko happy nacho then fanya ila...
9 years ago
Bongo507 Oct
Kukosekana kwa umoja wa wasanii kunasababisha wajanja wachache kunufaika — Nikki Wa Pili
9 years ago
Bongo502 Dec
Shaa asema hapendi tabia ya mashabiki kumshindanisha na Vanessa Mdee
Muimbaji wa ‘Sugua Gaga’ Sarah Kaisi a.k.a Shaa ameeleza jinsi anavyokerwa na tabia ya baadhi ya mashabiki wa muziki wanaojaribu kuwashindanisha kisanii na muimbaji nwenzake Vanessa Mdee.
Shaa ambaye ameachia wimbo mpya ‘Toba’ wiki iliyopita, amesema si sawa kushindanishwa na Vee Money kwasababu wote wanapeperusha bendera ya Tanzania.
“Niwambie ukweli sipendi sana hii tabia ya watanzania kunishindanisha na Vanessa Mdee au kitendo cha kuwashindanisha wasanii wa nyumbani,” alisema Shaa...
9 years ago
Mwananchi16 Aug
NIKKI WA PILI : Zaidi ya mwanamuziki
9 years ago
GPLNIKKI WA PILI AWAPA SOMO VIJANA
10 years ago
Jamtz.Com