Nyimbo 3 mpya za Weusi hazitatoka tena wiki hii, Nikki Wa Pili aeleza sababu
Mashabiki wa Weusi waliokuwa wakisubiri kwa hamu kupokea kazi mpya kutoka kwa wasanii wa kundi hilo,wanalazimika kuvuta subira kwasababu nyimbo mpya pamoja na video za Joh makini, Nikki Wa Pili na G-Nako zilizokuwa zitoke wiki hii hazitatoka tena wiki hii. Nikki wa Pili ameiambia Bongo5 kuwa yeye na wenzake wametafakari hali ilivyo hivi sasa na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo520 Oct
Joh Makini, G-Nako na Nikki Wa Pili kuachia single 3 mpya wiki Ijayo, 2 zimefanyiwa video na Justin Campos
9 years ago
Mtanzania30 Sep
G Nako aeleza sababu za ‘Weusi’ kutokufa
NA SHARIFA MMASI
RAPA mahiri kutoka kundi la Weusi lenye maskani yake mkoani Arusha, George Mdemu ‘G Nako’, amesema
upendo, umoja, kutodharau na kufanyia kazi ushauri wa mashabiki wao ndiyo misingi inayoliwezesha kundi hilo lisivunjike kama makundi mengine yaliyowahi kuwika kwa muda mfupi kabla ya kusambaratika.
“Sababu hizo tuliziweka kwa pamoja wakati tulipoanzisha kundi letu hilo ambalo kwa sasa ni kampuni.
“Makundi mengi yanasahau kwamba nidhamu ni kitu muhimu katika kila kazi, wengi wao...
10 years ago
Bongo526 Nov
Weusi kuzindua video zao 5 mpya kwenye show ya ‘Funga mwaka la Weusi’ Jumamosi hii Dar
9 years ago
Bongo524 Nov
Nikki Wa Pili asema hapendi michoro ya tattoo kwa sababu ni fasheni itakayopotea
![Nikki tattoo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Nikki-tattoo-300x194.jpg)
Rapper wa kundi la Weusi, Nickson Simon maarufu kama Nikki Wa Pili amesema michoro ya tattoo wanayojichora watu wengi maarufu ni fasheni, hivyo ipo siku itapita na kuonekana haina maana tena, ndiyo maana yeye haipendi.
Akizungumza na MTANZANIA, Nikki alisema kuwa sifa moja ya fasheni ni kuvuma na kupotea, hivyo ana hofu ya kuchora tattoo kwa kuwa itafika kipindi michoro hiyo itakuwa siyo ujanja tena.
“Ile ni fasheni, watu wanachora na wanapendeza, lakini hawajui kuwa sifa kubwa ya fasheni...
10 years ago
GPL11 Dec
10 years ago
CloudsFM05 May
Nikki Mbishi amjibu Nikki wa Pili
Jana kwenye ukurasa wa Instagrama wa @Cloudsfmtz waliposti mambo ambayo Nikki wa Pili aliyaandika ili kuwapa husia wasanii wanao kuja kuwa na style yao tofauti katika muziki huu wa Hip Hop pia alielezea ni kwa jinsi gani wasanii wa HipHop wa zamani ambavyo wamekuwa hawafanyi vizuri na mambo mengi alizungumzia kuhusiana na muziki wa Hip Hop Sasa baada ya Cloudsfm kupost Nikki Mbishi akaona na akibidi amjibu Nikki Wa Pili kwa kumwambia Kama wewe unafanya na uko happy nacho then fanya ila...
10 years ago
Bongo528 Feb
Nikki Mbishi atoa sababu za kubadili uamuzi wa kuacha muziki, kutoa wimbo mpya March 4
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Pe4JuzwJAow/VRpRPH6XqtI/AAAAAAAArBo/IQHO8nOCTOU/s72-c/larry.jpg)
TAZAMA VIDEO YA DAVIDO AKIMPONDA DIAMOND KUWA NYIMBO ZAKE HAZIPIGWI WIKI HII ALIPOKUWA KENYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Pe4JuzwJAow/VRpRPH6XqtI/AAAAAAAArBo/IQHO8nOCTOU/s1600/larry.jpg)
When asked by Larry whether East African music receives airplay in Nigeria, Davido gave a brutally honest NO. He even admitted that this collabo with Diamond ‘Number One’ is not played in Nigeria. As true as it may be, that came out badly from a guy who was about to perform in Kenya.
10 years ago
CloudsFM28 Apr
Madereva wa mabasi ya abiria kugoma tena wiki hii
Mgomo wa Aprili 9, mwaka huu uliodumu kuanzia alfajiri hadi saa 7:00 mchana ulitikisa nchi na kuwaathiri abiria wengi waliokuwa wanasafiri kwenda maeneo mbalimbali ya nchi.
Jana Taboa walitangaza kusitisha utoaji huduma kuanzia kesho ikiwa ni hatua ya kupinga nauli mpya za mabasi zilizotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa...