Kukosekana kwa umoja wa wasanii kunasababisha wajanja wachache kunufaika — Nikki Wa Pili
Rapper wa Weusi, Nikki Wa Pili amesema kuwa kukosekana kwa umoja wa wasanii kunasababisha mambo yao mengi kuzorota. Akiongea na Planet Bongo ya EA Radio, Nikki amesema ni lazima wasanii watambue umuhimu wa kutengeneza umoja wao utakaowasimamia na kuwasemea. “Umoja ni kitu cha msingi, kwa sababu bila umoja mambo mengi ya wasanii yatazorota, na kutokuwepo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo528 Sep
Nick wa Pili adai ni wasanii wachache waliojikwamua kiuchumi kupitia sanaa
10 years ago
Bongo530 Jan
Nikki wa pili afanya collabo ya wasanii sita, Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako
5 years ago
Bongo514 Feb
Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili
Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.
Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...
10 years ago
CloudsFM05 May
Nikki Mbishi amjibu Nikki wa Pili
Jana kwenye ukurasa wa Instagrama wa @Cloudsfmtz waliposti mambo ambayo Nikki wa Pili aliyaandika ili kuwapa husia wasanii wanao kuja kuwa na style yao tofauti katika muziki huu wa Hip Hop pia alielezea ni kwa jinsi gani wasanii wa HipHop wa zamani ambavyo wamekuwa hawafanyi vizuri na mambo mengi alizungumzia kuhusiana na muziki wa Hip Hop Sasa baada ya Cloudsfm kupost Nikki Mbishi akaona na akibidi amjibu Nikki Wa Pili kwa kumwambia Kama wewe unafanya na uko happy nacho then fanya ila...
9 years ago
Bongo524 Nov
Nikki Wa Pili asema hapendi michoro ya tattoo kwa sababu ni fasheni itakayopotea
![Nikki tattoo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Nikki-tattoo-300x194.jpg)
Rapper wa kundi la Weusi, Nickson Simon maarufu kama Nikki Wa Pili amesema michoro ya tattoo wanayojichora watu wengi maarufu ni fasheni, hivyo ipo siku itapita na kuonekana haina maana tena, ndiyo maana yeye haipendi.
Akizungumza na MTANZANIA, Nikki alisema kuwa sifa moja ya fasheni ni kuvuma na kupotea, hivyo ana hofu ya kuchora tattoo kwa kuwa itafika kipindi michoro hiyo itakuwa siyo ujanja tena.
“Ile ni fasheni, watu wanachora na wanapendeza, lakini hawajui kuwa sifa kubwa ya fasheni...
10 years ago
Bongo515 Dec
Nikki Mbishi: Wananchi elekezeni nguvu zenu kwa wasanii wengine pia, si Diamond tu!
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Siasa imevunja umoja, ikateua wachache kula matunda ya nchi
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Siasa ievunja umoja,ikateua wachache kula matunda ya nchi
9 years ago
Mwananchi16 Aug
NIKKI WA PILI : Zaidi ya mwanamuziki