Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nick wa Pili adai ni wasanii wachache waliojikwamua kiuchumi kupitia sanaa

Rapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili amesema ukuaji unaotafsiriwa sasa kwa mabadiliko yanayoendelea kwa upande wa sanaa ni kwa upande wa uzalishaji tu na sio faida kwa wasanii. Nick ameiambia E-Newz ya EATV kuwa ukuaji wa sanaa umefaidisha wasanii wachache huku wengi wakikwama katika kipindi cha miaka 10. “Tumepanda kwenye kuzalisha content, lakini […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Stamina adai wasanii wengi wa filamu wanauza sura, wenye vipaji wachache

Rapper Stamina anaamini kuwa tasnia ya filamu nchini inashindwa kwenda mbele zaidi kutokana na waigizaji wengi kutokuwa na vipaji bali wanatafuta umaarufu na pesa. Stamina amesema anashindwa kukaa na kuangalia filamu za siku hizi kwakuwa zimekosa waigizaji mahiri. “Unajua kuangalia filamu kuna raha yake kama utakuta waigizaji ambao wanajua kazi yao. Sio o hawa wanaotafuta […]

 

10 years ago

Bongo5

Kukosekana kwa umoja wa wasanii kunasababisha wajanja wachache kunufaika — Nikki Wa Pili

Rapper wa Weusi, Nikki Wa Pili amesema kuwa kukosekana kwa umoja wa wasanii kunasababisha mambo yao mengi kuzorota. Akiongea na Planet Bongo ya EA Radio, Nikki amesema ni lazima wasanii watambue umuhimu wa kutengeneza umoja wao utakaowasimamia na kuwasemea. “Umoja ni kitu cha msingi, kwa sababu bila umoja mambo mengi ya wasanii yatazorota, na kutokuwepo […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Nick wa Pili — Interlude

Sikiliza kionjo hiki cha Nick wa Pili chenye verse moja tu lakini moto. Nick ameiambia Bongo5 kuwa kipande hiki ni cha kuonjesha tu ujio wa ngoma yake mpya na rasmi. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nick wa Pili kuwahamasisha vijana kujiajiri

MKALI wa hip hop nchini, Nick wa Pili, ameanzisha taasisi yake inayojulikana kwa jina la ‘Twaonekana’ ambayo itakuwa inasaidia vijana wa Tanzania kuwa na moyo wa kujiajiri wenyewe. Nick ambaye...

 

11 years ago

Bongo5

Nick wa Pili azungumzia hatma ya Lord Eyez ndani ya Weusi

Msemaji wa kampuni ya Weusi, Nick wa Pili amewataka mashabiki wao kuendelea kuwa na subiri kuhusu taarifa rasmi ya lini Lord Eyez atarejea tena akiwa chini ya kampuni hiyo. Nick alikuwa akiongea na Bongo5 na kusema: Akirudi tutatoa taarifa bado hatujatoa taarifa rasmi. Kwahiyo sasa hivi hakuna tamko lolote. Kama tuliweza kutoa tangelo la kumsimamisha […]

 

11 years ago

Vijimambo

NICK WA PILI KUWA MSANII WA KWANZA WA BONGO FLAVOUR KUCHUKUA PhD TANZANIA.

Rapper kutoka kundi la Weusi Nick wa pili amesema anatarajia kurudi chuo kuchukua PhD, Mwaka jana Nicki wa pili alifanikiwa kuchukua Master na kuwa kati ya A-list ya wasanii wa Tanzania wenye Kisomo cha kuridhisha lakini mweusi huyu anaonekana kutoridhika bado baada ya kuonesha nia ya kurudi tena chuo ili kuchukua PhD , Rapper wa ngoma ya "sitaki kazi" alipokua akizungumza na kipindi cha XXL cha clouds fm siku ya leo Nick wa pili alifunguka kuwa Tayari ameapply na amepata nafasi chuo kikuu...

 

10 years ago

Bongo5

Nick wa Pili: Maisha uyaonayo kwenye tamthilia au video za muziki ni feki yasikupe stress

Rapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili amewaasa vijana kuacha kuiga maisha ya mastaa mbalimbali wanayoyaona kwenye TV au mitandao ya kijamii kwakuwa si ya kweli na yanapotosha. Kupitia ukurusa wake wa Instagram, Nick ameandika: Maisha sasa yametawaliwa na, taarifa potofu ambazo zina aribu, mapenzi, familia , na maadili….taarifa nyingi zinatoka kwa media…(magazeti, tv, […]

 

10 years ago

Bongo5

Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili

Wiki iliyopita ilifanyika tathmini ya tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) za mwaka jana, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye msimu mpya wa tuzo hizo kwa mwaka huu 2015. Kwa kawaida Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) hualika wadau mbalimbali kuhudhuria tathmini ya tuzo za mwaka uliopita kwa lengo la kuwapa nafasi ya kutoa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani