Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yazidi kujiimarisha kiulinzi-Kikwete

Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania imezidi kujiimarisha kiulinzi baada ya kuanza kuwasomesha maofisa wake hapa nchini, ambao awali walikuwa wakienda kusoma nje ya nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Meza yazidi kujiimarisha

TIMU ya taifa ya mpira wa meza iliyoweka kambi nchini China, imezidi kuongezewa mashindano ya kujipima nguvu. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, mmoja wa wachezaji wanaounda timu hiyo, Amon Tumaini, alisema katika...

 

10 years ago

GPL

YANGA YAZIDI KUJIIMARISHA NA KAGAME

Mshambuliaji mpya wa Yanga kutoka timu ya Platinum ya Zimbabwe, Donald Ngoma, akionesha umahiri wake wa kuchezea mpira kwenye mazoezi hayo. KIKOSI cha Yanga leo kimeendelea kujiimarisha kwa ajili ya michuano ya Kombe la Kagame ambayo inatarajiwa kutimua vumbi jijini Dar es Salaam hivi karibuni.... HABARI NA PICHA ZAIDI===>http://bit.ly/1LW0xeT

 

10 years ago

Michuzi

HIFADHI YA TAIFA YA KITULO MAKETE YAZIDI KUJIIMARISHA ZAIDI

 Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akiangalia maporomoko ya maji yaliyopo kwenye hifadhi ya Taifa ya Kitulo.=======Hifadhi ya Taifa ya Kitulo iliyopo wilayani Makete mkoani Njombe imejipanga vilivyo kuongeza vivutio vipya vya utalii hifadhini humo pamoja na kuboresha miundombinu ya barabara na njia za kupita watalii ili wafurahie vivutio vilivyopo hifadhini humo. Akizungumza mbele ya kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Makete iliyofanya ziara hifadhini humo, Kaimu mkuu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

TREVO yaendelea kujiimarisha Tanzania, watu mbalimbali wafaidika

MMGL0865

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Bidhaa  ya TREVO yenye virutubisho vya asili zaidi ya 174, bidhaa kutoka nchini Marekani iliyotengenezwa kwa kuzingatia kanuni bora za afya na kufikia uthibitisho wa hali ya juu  imeendelea kujiimarisha katika mzunguko wa soko hapa nchini huku watu mbalimbali wakinufaika nayo ikiwemo matumizi ya kiafya pamoja na kukuza soko la mitaji kwa wasambazaji wake.

Kwa mujibu wa Msambazaji wa bidhaa za Trevo Tanzania, Kemi Bubelwa alieleza kuwa, Formula hiyo ya TREVO...

 

11 years ago

Michuzi

ULTIMATE SECURITY YAJIKITA ZAIDI KIULINZI

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya ulinzi ya Ultimate security,Jacqui Bothma na Meneja wa huduma kwa wateja wa kampuni hiyo Pambwe Maulid wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari mapya 12 na pikipiki 14 zitakazotumika kwaajili ya kutoa huduma mbalimbali katika jamii. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya ulinzi ya Ultimate security,Jacqui Bothma(kushoto)akimsikiliza Meneja wa huduma kwa wateja wa kampuni hiyo Pambwe Maulid,(hawapo pichani)akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi...

 

11 years ago

GPL

ULTIMATE SECURITY YAJIKITA ZAIDI KIULINZI‏

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya ulinzi ya Ultimate security, Jacqui Bothma na Meneja wa huduma kwa wateja wa kampuni hiyo Pambwe Maulid wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari mapya 12 na pikipiki 14 zitakazotumika kwaajili ya kutoa huduma mbalimbali katika jamii. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya ulinzi ya Ultimate security, Jacqui Bothma (kushoto) akimsikiliza Meneja wa huduma kwa wateja wa kampuni hiyo Pambwe Maulid...

 

10 years ago

Michuzi

Updates: Hali ya Rais Kikwete yazidi kuhimarika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Jumatatu, Novemba 10, 2014, alianza kuwasiliana na mamia kwa mamia ya wananchi mbali mbali nchini kujibu ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) wa kumpa pole, kumtakia heri na nafuu ya haraka ambao amekuwa anatumiwa na wananchi tokea mwishoni mwa wiki.
Tangu alipofanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) Jumamosi iliyopita kwenye Hospitali ya Johns Hopkins, Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani, Rais Kikwete amepokea...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATOLEWA NYUZI KATIKA MSHONO, AFYA YAKE YAZIDI KUIMARIKA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita. Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri. Kulia kwake ni Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi.…
...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atolewa nyuzi katika mshono,Afya yake yazidi kuimarika

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita.Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri .Kulia kwake ni Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepumzika kwenye hoteli maalumu baada ya kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani