TREVO yaendelea kujiimarisha Tanzania, watu mbalimbali wafaidika
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Bidhaa ya TREVO yenye virutubisho vya asili zaidi ya 174, bidhaa kutoka nchini Marekani iliyotengenezwa kwa kuzingatia kanuni bora za afya na kufikia uthibitisho wa hali ya juu imeendelea kujiimarisha katika mzunguko wa soko hapa nchini huku watu mbalimbali wakinufaika nayo ikiwemo matumizi ya kiafya pamoja na kukuza soko la mitaji kwa wasambazaji wake.
Kwa mujibu wa Msambazaji wa bidhaa za Trevo Tanzania, Kemi Bubelwa alieleza kuwa, Formula hiyo ya TREVO...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Tanzania yazidi kujiimarisha kiulinzi-Kikwete
Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania imezidi kujiimarisha kiulinzi baada ya kuanza kuwasomesha maofisa wake hapa nchini, ambao awali walikuwa wakienda kusoma nje ya nchi.
10 years ago
MichuziMATUKIO MBALIMBALI YAENDELEA KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA
5 years ago
MichuziNIDA Yaendelea na Shughuli za Usajili na Utambuzi wa Watu Nchini Kote
Maafisa usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) wakiendelea kutoa huduma za usajili kwa wananchi katika ofisi za Wilaya za Mamlaka hiyo katika Wilaya za Mkoa wa Dar es salaam huku tahadhari za maambukizi ya virusi vya Corona ikiendelea kuzingatiwa kikamilifu.
Na Agnes GerladMamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inaendelea na shughuli za Usajili na Utambuzi wa Watu nchini kote ambapo wananchi wanaendelea kupatiwa huduma katika ofisi za Usajili za NIDA zilizoko katika...
10 years ago
Michuzi
NJIA 8 ZA KUTENGENEZA FEDHA KUPITIA BIDHA YA TREVO
KUJUA NAMNA YA KUJIUNGATUMA EMAIL: kemi@trevo.co.tz
10 years ago
MichuziJAMII YASHAURIWA KUTUMIA KINYWAJI CHA TREVO
Pia aliongezea kuwa Kinywaji cha Trevo ni kinywaji kilichotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu kinaachuhusisha vyakula mbalimbali nyenye kiwango kikubwa vya virutubisho na kutoka mataifa...
10 years ago
GPL
MANISPAA YA KINONDONI YAENDELEA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS LA KUONDOA MAJI KWENYE MAKAZI YA WATU
Mkuu wa mkoa wa Dar es slaam,Saidi Meck Sadiki(katikati) akiangalia athari ya maji yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni jijini Dar es slaam akiwa ameambatana na wakazi wa eneo hilo la Kunduchi Ununio.Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na DAWASA inaendelea na zoezi la kuyaondoa maji hayo pamoja na ujenzi wa mfereji mkubwa kuelekea baharini utakaokusanya maji kutoka Bunju na Kunduchi na kuyapeleka bahari ya...
11 years ago
Vijimambo
WATU MBALIMBALI WAKIWEMO VIONGOZI WA KITAIFA WAIUNGA MKONO JENGA



10 years ago
Michuzi
Tambua Fursa ya Biashara na Umuhimu wa Trevo kwa Afya Yako

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania