Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NJIA 8 ZA KUTENGENEZA FEDHA KUPITIA BIDHA YA TREVO


KUJUA NAMNA YA KUJIUNGATUMA EMAIL: kemi@trevo.co.tz

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NJIA RAHISI YA KUTENGENEZA UTAJIRI- 2

Warren Buffett. WIKI iliyopita tuliangalia kanuni tano zilizomfanya tajiri namba moja duniani, Warren Buffett kufanikiwa katika maisha yake, leo tunamalizia kanuni tano za mwisho ambazo kama utazifuata, unaweza kufanikiwa kirahisi katika kuyafikia mafanikio. Usiwe mtu wa mikopo mikopo
Kuishi katika mikopo hakuwezi kukufanya ukawa tajiri. Tajiri maarufu duniani Mmarekani  Warren Buffett hakuwahi kukopa, iwe kwa ajili ya...

 

10 years ago

Michuzi

NHBRA WAGUNDUA NJIA RAHISI YA KUTENGENEZA VIGAE VYA KUPAULIA NYUMBA

   Meneja  wa Utafiti na Maendeleo wa NHBRA Injinia Elias Kwemana akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa habari MAELEZO Ajijini Dar es Salaam leo kushoto ni kaimu afisa Habari wa NHBRA Frimin Lyakurwa kulia ni  Afisa masoko  wa NHBRA Zubeda Salum.  Meneja  wa Utafiti na Maendeleo wa NHBRA Injinia Elias Kwemana akionyesha aina  ya kwanza ya kigae  cha kupaulia nyumba,kushoto ni kaimu afisa Habari wa NHBRA Frimin Lyakurwa kulia ni  Afisa masoko  wa NHBRA Zubeda Salum. Meneja  wa...

 

11 years ago

GPL

VODACOM KUTENGENEZA AJIRA ZAIDI YA 400 KUPITIA MADUKA YAO‏

Mkuu wa Idara ya Mauzo ya Rejareja wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Upendo Richard (kushoto) akimkabidhi Meneja wa duka jipya la huduma kwa wateja la Vodacom Sinza Afrika Sana, Swaum Manengelo funguo ya duka hilo kuashiria ufunguzi rasmi wa duka hilo kuanza kutoa huduma kwa wateja. Akishuhudia tukio hilo katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa kampuni hiyo, Salum Mwalim. Uzinduzi huo umefanyika hivi karibuni jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom kutengeneza ajira zaidi ya 400 kupitia madukayake yaliyokwisha kufunguliwa hadi sasa

Kampuni ya mawasiliano nchini ya Vodacom imendelea na azma yake ya kuhakikisha inawafaidisha wateja wake kupitia huduma zake huku wakitengeneza nafasi za ajira kupitia maduka yake yanayoendelea kufunguliwa nchi nzima.   Hayo yameelezwa na Mkuu wa Idara ya Mauzo ya Rejareja, Upendo Richard wakati akizindua duka jipya la Vodacom maeneo ya Sinza Afrika Sana ambalo linakuwa ni la 18 kwa wilaya ya Kinondoni pekee na la 79 Tanzania nzima.   “Dhamira kubwa ya kusambaza maduka haya ni kusogeza na...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI UNAPOPANDA MLIMA KILIMANJARO KUPITIA NJIA YA LONDROS











Sehemu ya kwanza kabisa kuiona unapopanda mlima Kilimanjaro ni misitu uliotokana na kupandwa kwa miti inayotumika kwa ajili ya utengenezaji wa Mbao. Baadae unaiacha hiyo misitu kisha unakutana na uoto wa asili wa miti mifupi.  Kadri unavyo panda juu hali ya uoto inabadirika na hatimaye kukutana na nyasi fupi fupi iliyojishikiza kwenye miamba.
BOFYA HAPA KWA PICHA LUKUKI



 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AZINDUA MAEGESHO NA NJIA YA KUPITIA NDEGE (APRON AND TAXIWAY) ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Kaimu Meneja wa Benki ya Dunia Tanzania Monthe Biyoudi wakikata utepe kuzindua maegesho na njia ya kupitia Ndege (APRON AND TAXIWAY) leo katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume -Zanzibar huko Kiembesamaki nje ya Mji wa Unguja katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar(kushoto0 Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto za miamala ya fedha kwa njia ya mtandao- 2

Wiki kadhaa zilizopita niliandika makala kuhusu changamoto zilizopo katika kufanya miamala ya fedha kwa kwa njia ya mtandao.

 

10 years ago

Michuzi

PWANI WAINGIZA MABILIONI YA FEDHA KUPITIA MISITU

Na John Gagarini, BagamoyoMKOA wa Pwani umefanikiwa kukusanya kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni nane kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika kipindi cha mwaka 2013/2014.
Hayo yalisemwa juzi wilayani Bagamoyo na Ofisa Misitu wa mkoa huo Daniel Isara, wakati wa maadhimisho ya upandaji miti kimkoa iliyofanyika kwenye eneo la la Gareza la Kigongoni ambapo ilipandwa zaidi ya miti 3,000.
Isara alisema kuwa fedha hizo zimetokana na kukabiliana na uharibifu wa rasilimali misitu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani