VODACOM KUTENGENEZA AJIRA ZAIDI YA 400 KUPITIA MADUKA YAO
Mkuu wa Idara ya Mauzo ya Rejareja wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Upendo Richard (kushoto) akimkabidhi Meneja wa duka jipya la huduma kwa wateja la Vodacom Sinza Afrika Sana, Swaum Manengelo funguo ya duka hilo kuashiria ufunguzi rasmi wa duka hilo kuanza kutoa huduma kwa wateja. Akishuhudia tukio hilo katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa kampuni hiyo, Salum Mwalim. Uzinduzi huo umefanyika hivi karibuni jijini Dar es...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1Ans7TxaQp0/U4rbdwKuh8I/AAAAAAAFm3A/_XxQ_l3yx34/s72-c/unnamed+(9).jpg)
Vodacom kutengeneza ajira zaidi ya 400 kupitia madukayake yaliyokwisha kufunguliwa hadi sasa
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
Vodacom kutengeneza ajira zaidi ya 400
Mkuu wa Idara ya Mauzo ya Rejareja wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Upendo Richard (kushoto) akimkabidhi Meneja wa duka jipya la huduma kwa wateja la Vodacom Sinza Afrika Sana Swaum Manengelo funguo ya duka hilo kuashiria ufunguzi rasmi wa duka hilo kuanza kutoa huduma kwa wateja Akishuhudia tukio hilo katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa kampuni hiyo, Salum Mwalim.Uzinduzi huo umefanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Meneja wa duka jipya la huduma kwa wateja la...
11 years ago
Habarileo02 Jun
Vodacom yatengeneza ajira 400
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom imeendelea na azma yake ya kuhakikisha inawafaidisha wateja wake kupitia huduma zake, huku wakitengeneza nafasi za ajira kupitia maduka yake yanayoendelea kufunguliwa nchi nzima.
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Tuna nafasi ya kutengeneza ajira zaidi ya wanaume
10 years ago
GPLCAREER AFRICA YAFANA NEW YORK ZAIDI YA WANADIASPORA 400 WAJITOKEZA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JSct6ft9ycReQQmY3YK3Yj7NtkRBxGkRUmemU8n005KbKVH5o7fezhp4DWwwkjGviQAmmlwEAnrE4Q1eQ9-c72xN6RTNBZE4/1001.LIGI.jpg?width=650)
VODAFONE SMART KICKA INAPATIKANA KWA SH.79,999 KWA MADUKA YA VODACOM TU
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OBfXgdyBV3I/VL5UJgqeIZI/AAAAAAAG-eg/_2U7KjPltJ0/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
ZAIDI YA BILIONI 29 ZINAWASUBIRI WATEJA WA VODACOM KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS
Akiongea baada ya kumalizika kwa droo ya sita ya promosheni hiyo ambayo ilifanyikiwa kupata washindi wa muda wa maongezi kufikia idadi ya 947 na kutokufanikiwa kupata mshindi wa fedha taslimu na kubakia na idadi ileile ya washindi watano waliojishindia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ESy03VwS5Zl2u*pBxfG3FnbBMAPSGH32pVc3BHJOpnSGT-a6TY75dMAR8i4qLwtlINvp5adUemyqQs9GqlZlG-nKZ*zsP9Gn/001.OILCOM.jpg?width=650)
KAMPUNI YA CORONA (T) LTD NI KINARA WA KUJAZA MAFUTA KUPITIA HUDUMA YA M PESA YA VODACOM
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vshXEK8U-ii29kqa2Kq22ZyVBamGJVPOFEA4n5K4Cj5nYdcCHiiHAT1C4WTsqrvyNEAq0KNX*bFA8i94qttMM3czthsbBvcD/001.JP.jpg)
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE