Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUKIO MBALIMBALI YAENDELEA KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy (kushoto) kwa pamoja na  Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez wakichanganya saruji, kokoto na mchanga ili kupata zege kwa ajili ya kuweka Jiwe la  Msingi ikiwa ni uzinduzi wa kuanza kwa ujenzi wa vyoo 22 kwenye Shule ya Msingi Kiboriloni, Mkoani Kilimanjaro. Uzinduzi huo ni tukio mojawapo kuelekea maadhimisho ya miaka 70 ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Umoja wa Mataifa waanza maadhimisho ya miaka 70 kwa kupanda miti Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira,  Mhe. Binilith Mahenge  akiwahutubia wananchi (hawapo pichani) kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed  Gharib Bilal wakati wa tukio la upandaji miti ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 70 ya Ummoja wa Mataifa lilofanyika katika Kijiji cha Marua, Mkoani Kilimanjaro. Mhe. Waziri aliwaasa wananchi waliojitokeza na Watanzania kwa ujumla kulinda na kuhifadhi mazingiraMabalozi na Wakuu wa Mashirika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kufanyika Oktoba viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar

Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya sherehe za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa pamoja na kutolea ufafanuzi malengo 17 ya maendeleo endelevu (SDGs) yenye lengo la kufuta kabisa umaskini.(Picha zote ne Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).

DSC_0181

Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Hassan Simba Yahya akizungumza na waandishi wa...

 

9 years ago

Michuzi

Video ya Matukio ya mwaka 2015 katika Umoja wa Mataifa

2015 – mwaka uliosheheni matukio ya aina yake na picha za kutisha: Maiti ya mtoto mdogo wa kiume akisombwa hadi ufukweni, kiashiria cha janga la wakimbizi Milioni 60: wananchi wa Paris, Beirut na Nairobi wakikmbia mashambulizi ya kigaidi, na nchi zilizosalia magofu kutokana na mapigano yasiyoisha. 
Matukio ya mwaka 2015, yanakumbusha changamoto ambazo Umoja wa Mataifa umekumbana nazo katika miaka 70 ya tangu kuanzishwa kwake- lakini yanatupatia muhtasari wa mafanikio yatokanayo na...

 

9 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Dar es salaam, Madereva wa boda boda wakiongoza maandamano ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake jijini Dar es salaam. Maandamano hayo yalianzia uwanja wa Tipi ulioko Sinza hadi katika hotel ya Blue Pearl iliyopo Ubungo.Dar es salaam, Ujumbe mbalimbali wa maadhimisho ya kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.Kilimanjaro, Maandamano yakipita eneo la kituo kuu cha Mabasi cha mjini Moshi yakieekea katika viwanja vya kituo hicho ambako uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili...

 

11 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya siku ya walinda Amani ya Umoja wa Mataifa yafanyika Dar

Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi akihotubia katika maadhimisho ya siku ya walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Mabalozi wakimsikiliza Waziri Mwinyi (hayupo pichani). Dkt. Mwinyi akiweka Shada katika mnara wa Mashujaa kuashiria kuwakumbuka walindaamani waliopoteza maisha duniani kote. Mabalozi mbalimbali wanao ziwakilisha Nchi zao hapa nchin nao walihudhuria maadhimisho hayo Waziri waulinzi Dkt. Mwinyi akiagana na mabalozi...

 

10 years ago

Michuzi

Wiki ya Umoja wa Mataifa kuadhimisha miaka 69 yazinduliwa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw.John Haule (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uzinduzi wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Mataifa tarehe 21 hadi 25 Oktoba, 2014. Wiki hiyo ambayo huadhimishwa kila mwaka itajumuisha gwaride rasmi na kupandishwa bendera katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam tarehe 24 Oktoba. Sherehe hizo zitahitimishwa na bonanza la michezo mbalimbali litakalo husisha wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa na Wizara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani