Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUELEKEA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

CLOUDS FM LEO IMEFIKA KILELE CHA MWEZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 14

Baadhi ya wafanyakazi mbalimbali wa kituo cha Clouds FM wakielekea ndani ya hospitali kwaajili ya kutoa misaada. Wafanyakazi  wakielekea wodini.…

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA KUZALIWA CCM MKOANI MBEYA LEO

Mwenyekiti wa chama chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia Wananchi na Wanachama wakareketwa wa chama hicho,mapema leo jioni kwenye kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho,yaliyofanyika kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine,jijini Mbeya,Pichani kulia ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akishuhudia tukio hilo.  Sehemu ya Umati wa Watu waliofika kwenye shamrashamra hizo leo.
Mwenyekiti wa chama chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa...

 

5 years ago

Michuzi

SALAMU ZA MAKAMU WA RAIS KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA MUUNGANO WA TANZANIA






Katika kipindi hiki cha kuelekea maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar, mimi kama Msimamizi Mkuu wa masuala yote ya Muungano napenda nitumie fursa hii kuzungumza machache na Watanzania wenzangu.

Moja; Nawapongeza Watanzania wote kwa kazi kubwa mnayoendelea kuifanya ya kuhakikisha Muungano wetu unazidi kuimarika siku hadi siku. Vilevile niwapongeze kwa kuwa na imani thabiti juu ya Muungano wetu kwa kuhakikisha mnautunza na kuuenzi kwa hali na mali.

Kupitia...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS ATOA SALAMU MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Katika kipindi hiki cha kuelekea maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar, mimi kama Msimamizi Mkuu wa masuala yote ya Muungano napenda nitumie fursa hii kuzungumza machache na Watanzania wenzangu.

Moja; Nawapongeza Watanzania wote kwa kazi kubwa mnayoendelea kuifanya ya kuhakikisha Muungano wetu unazidi kuimarika siku hadi siku.  Vilevile niwapongeze kwa kuwa na imani thabiti juu ya Muungano wetu kwa kuhakikisha mnautunza na kuuenzi kwa hali na mali.

Kupitia Muungano...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA ZILIVYOFANA WAHSINGTON DC,WATANZANIA WAFURIKA

Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Watanzania hapa Washington DC kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano.Mh:Mwigulu Nchemba akiongozwa na Balozi wa Tanzania hapa Washington DC Bi.Libereta Mulamula Kuelekea Kufungua Sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania hapa Washington DC.Mke wa Mh:Mwigulu Nchemba (Kulia)akisalimiana na Mwanamitindo Maarufu wa Mavazi hapa Washington DC na Viunga Vyake Miss Temeke wa "KWETU FASHION".
Ukuta Umependeza kwa Baongo Kubwa la Miaka 50 ya...

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAISHIO MJINI SHANGHAI WALIVYOSHEREHEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Baadhi ya Watanzania waishio katika mji wa Shanghai nchini China wamesherehekea maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania kwa kukutana pamoja na kuzungumza mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Licha ya sherehe hizo za Miaka 50 ya Muungano,pia ziliambatana na kuwaaga baadhi ya wahitimu kutoka vyuo mbalimbali wanaotarajia kumaliza mwaka huu. Baadhi ya Watanzania waishio Shanghai wakipiga picha ya pamoja katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 50 Muungano wa Tanzania,yaliyofanyika...

 

11 years ago

Michuzi

Maadhimisho sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania yafana jijini Kuala Lumpur,Malaysia

Watanzania waishio nchini Malaysia hivi karibuni walikutana pamoja katika hafla ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika katika Hotel ya Prince jijini Kuala Lumpur- Malaysia,chini ya uongozi wa Balozi Dr. Aziz Ponary Mlima. Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo alikuwa ni Naibu Waziri wa Usafiri na Uchukuzi wa Malaysia Dato Ab. Aziz Kaprawi. Balozi wa Tanzania nchini Malaysia,Dr. Aziz Ponary Mlima pamoja na Maafisa wa Ubalozi wakiwakaribisha wageni waalikwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani