Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CLOUDS FM LEO IMEFIKA KILELE CHA MWEZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 14

Baadhi ya wafanyakazi mbalimbali wa kituo cha Clouds FM wakielekea ndani ya hospitali kwaajili ya kutoa misaada. Wafanyakazi  wakielekea wodini.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA KUZALIWA CCM MKOANI MBEYA LEO

Mwenyekiti wa chama chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia Wananchi na Wanachama wakareketwa wa chama hicho,mapema leo jioni kwenye kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho,yaliyofanyika kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine,jijini Mbeya,Pichani kulia ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akishuhudia tukio hilo.  Sehemu ya Umati wa Watu waliofika kwenye shamrashamra hizo leo.
Mwenyekiti wa chama chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHIPUKIZI WA UVCCM WAJIFUA VIKALI TAYARI KWA KILELE CHA MIAKA 38 YA CCM LEO

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Mratibu wa Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM, Emmanuel Nchimbi, walipokuwa wakikagua mazoezi ya vijana wa Chipukizi wa CCM ya paredi na halaiki kwa ajili ya Maadhimisho ya Kilele cha Miaka 38 ya CCM, yatakayofanyika Kitaifa leo kwenye Uwanja wa majiMaji mjini Songea. Vijana wa Chipukizi wa CCM waliopo katika mazoezi ya halaiki na paredi kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM mjini Songea, wakikipiga saluti wakati wa mazoezi ya...

 

11 years ago

GPL

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA ALBINO DUNIANI

Umati wa watu waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Albino Duniani wakiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja leo. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akitoa hotuba fupi.…

 

10 years ago

Vijimambo

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI DODOMA

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, akikata utepe kama ishara ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa Dodoma Machi 22, 2015.Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa Dodoma...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KIWANDA CHA COCACOLA MWANZA KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Mwanza na wa Kiwada cha Cocacola, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa ajili ya kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana Juni 5, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza...

 

11 years ago

GPL

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA FISTULA DUNIANI‏

Baadhi ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani. Mmoja wa wasanii wa kundi la “Mpoto Theater”akigawa… ...

 

10 years ago

Michuzi

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI MKOA WA DODOMA

 Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, akikata utepe kama ishara ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa Dodoma Machi 22, 2015. Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa...

 

10 years ago

GPL

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU YAFANYIKA IRINGA

Waziri Lukuvi akimkabidhi mwanafunzi wa shule ya msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti cha ushiriki mzuri wa siku ya walemavu. Mwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward Bagandashwa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani