Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA WAISHIO MJINI SHANGHAI WALIVYOSHEREHEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Baadhi ya Watanzania waishio katika mji wa Shanghai nchini China wamesherehekea maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania kwa kukutana pamoja na kuzungumza mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Licha ya sherehe hizo za Miaka 50 ya Muungano,pia ziliambatana na kuwaaga baadhi ya wahitimu kutoka vyuo mbalimbali wanaotarajia kumaliza mwaka huu. Baadhi ya Watanzania waishio Shanghai wakipiga picha ya pamoja katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 50 Muungano wa Tanzania,yaliyofanyika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA ZILIVYOFANA WAHSINGTON DC,WATANZANIA WAFURIKA

Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Watanzania hapa Washington DC kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano.Mh:Mwigulu Nchemba akiongozwa na Balozi wa Tanzania hapa Washington DC Bi.Libereta Mulamula Kuelekea Kufungua Sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania hapa Washington DC.Mke wa Mh:Mwigulu Nchemba (Kulia)akisalimiana na Mwanamitindo Maarufu wa Mavazi hapa Washington DC na Viunga Vyake Miss Temeke wa "KWETU FASHION".
Ukuta Umependeza kwa Baongo Kubwa la Miaka 50 ya...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA WATANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO

Rais Dk. Jakaya Kikwete na viongozi mbalimbali wa serikali wakiwa katika maadhimisho ya muungano. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete leo amewaongoza Watanzania katika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maadhimisho hayo kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali. ...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO ZAFANYIKA MJINI BEIJING, CHINA

Balozi wa Tanzania nchini China, Mh Abdulrahman Shimbo akitoa mawaidha kwa waalikwa katika sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) zilziofanyika Ubalozini mjini hapa. Mh Balozi Shimbo alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo iliyoandaliwa na Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania Beijing (TZ-SUB).(Picha na Salum Ramadhan)Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi Beijing (TZ-SUB), Ireneus Kagashe (kulia) akitoa utangulizi katika sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...

 

11 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO,UKUMBI WA SALAMA BWAWANI MJINI UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia)akibonyeza kitufe ikiwa ni ishara ya  Uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 50 Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo ,(wa pili kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad,akifuatiwa na Waziri ayeshuhulikia Muungano Samia Suluhu Hassan  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia)akiwahutubia wananchi na...

 

11 years ago

Michuzi

RISALA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Katibu wa Jumuiya ya Watanzania waishio Uingereza Bi Mariam Mungula alipokuwa London kwa ziara ya kiserikali kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa uingereza Mhe David Cameron. Risala hiyo inasomeka hapa chini...

 

5 years ago

Michuzi

SALAMU ZA MAKAMU WA RAIS KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA MUUNGANO WA TANZANIA






Katika kipindi hiki cha kuelekea maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar, mimi kama Msimamizi Mkuu wa masuala yote ya Muungano napenda nitumie fursa hii kuzungumza machache na Watanzania wenzangu.

Moja; Nawapongeza Watanzania wote kwa kazi kubwa mnayoendelea kuifanya ya kuhakikisha Muungano wetu unazidi kuimarika siku hadi siku. Vilevile niwapongeze kwa kuwa na imani thabiti juu ya Muungano wetu kwa kuhakikisha mnautunza na kuuenzi kwa hali na mali.

Kupitia...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS ATOA SALAMU MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Katika kipindi hiki cha kuelekea maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar, mimi kama Msimamizi Mkuu wa masuala yote ya Muungano napenda nitumie fursa hii kuzungumza machache na Watanzania wenzangu.

Moja; Nawapongeza Watanzania wote kwa kazi kubwa mnayoendelea kuifanya ya kuhakikisha Muungano wetu unazidi kuimarika siku hadi siku.  Vilevile niwapongeze kwa kuwa na imani thabiti juu ya Muungano wetu kwa kuhakikisha mnautunza na kuuenzi kwa hali na mali.

Kupitia Muungano...

 

11 years ago

Michuzi

Maadhimisho sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania yafana jijini Kuala Lumpur,Malaysia

Watanzania waishio nchini Malaysia hivi karibuni walikutana pamoja katika hafla ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika katika Hotel ya Prince jijini Kuala Lumpur- Malaysia,chini ya uongozi wa Balozi Dr. Aziz Ponary Mlima. Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo alikuwa ni Naibu Waziri wa Usafiri na Uchukuzi wa Malaysia Dato Ab. Aziz Kaprawi. Balozi wa Tanzania nchini Malaysia,Dr. Aziz Ponary Mlima pamoja na Maafisa wa Ubalozi wakiwakaribisha wageni waalikwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani