Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO ZAFANYIKA MJINI BEIJING, CHINA

Balozi wa Tanzania nchini China, Mh Abdulrahman Shimbo akitoa mawaidha kwa waalikwa katika sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) zilziofanyika Ubalozini mjini hapa. Mh Balozi Shimbo alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo iliyoandaliwa na Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania Beijing (TZ-SUB).(Picha na Salum Ramadhan)Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi Beijing (TZ-SUB), Ireneus Kagashe (kulia) akitoa utangulizi katika sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

sherehe za miaka 50 ya Muungano zafana jijini Beijing, China

 Keki Maalumu kwa ajili ya sherehe hio  Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni jenerali mstaafu Abdulrahman Shimbo akiwa na mgeni rasmi wa sherehe za miaka 50 ya Muungano jijini Beijing, China,  makamu mwenyekiti wa kamati kuu ya baraza la ushauri wa kisiasa ya watu China Mhe. Chen Yuan, wakizungumzia mahusiano yaliyopo kati ya CHina Na Tanzania kwa miaka 50 sasa.  Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni jenerali mstaafu Abdulrahman Shimbo akihutubia wakati wa sherehe za miaka 50 ya...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZAFANYIKA PARIS UFARANSA

Watanzania waishio nchini Ufaransa walikutana Jumamosi mchana tarehe 26 Aprili nyumbani kwa Balozi wa Tanzania mjini Paris ili kusherehekea miaka 50 ya muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika. Balozi wa Tanzania Nchini Ufaranza,Mh. Begum Karim Taj akipokea keki maalum kwa ajili ya sherehe hizo za Muungano wa Tanzania katika hafla iliyofanyika nyumbani kwa Balozi,Mjini Paris Ufaransa. Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa akiwa na watoto mjini Paris. Mh. Balozi Begum Taj akiwa na baadhi...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA KATI YA TANZANIA NA CHINA HUKO BEIJING

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Ndugu Li Yuanchao wakati walipokutana kwenye Sherehe ya kutimiza Miaka 50 ya Uhusiano wa Kidiplomasia baina ya Tanzania na China. Sherehe hizo zilizoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini China na kufanyika jijini Beijing leo
 Makamu wa Rais wa China Ndugu Li Yuanchao akigonganisha  glasi ikiwa ni ishara ya kusherehekea kutimiza miaka 50 ya ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China. Sherehe...

 

11 years ago

GPL

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA ZILIVYOFANA WAHSINGTON DC,WATANZANIA WAFURIKA

Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Watanzania hapa Washington DC kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano.Mh:Mwigulu Nchemba akiongozwa na Balozi wa Tanzania hapa Washington DC Bi.Libereta Mulamula Kuelekea Kufungua Sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania hapa Washington DC.Mke wa Mh:Mwigulu Nchemba (Kulia)akisalimiana na Mwanamitindo Maarufu wa Mavazi hapa Washington DC na Viunga Vyake Miss Temeke wa "KWETU FASHION".
Ukuta Umependeza kwa Baongo Kubwa la Miaka 50 ya...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU DAR LEO

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis MwamunyangeMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa...

 

11 years ago

Michuzi

Maadhimisho sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania yafana jijini Kuala Lumpur,Malaysia

Watanzania waishio nchini Malaysia hivi karibuni walikutana pamoja katika hafla ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika katika Hotel ya Prince jijini Kuala Lumpur- Malaysia,chini ya uongozi wa Balozi Dr. Aziz Ponary Mlima. Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo alikuwa ni Naibu Waziri wa Usafiri na Uchukuzi wa Malaysia Dato Ab. Aziz Kaprawi. Balozi wa Tanzania nchini Malaysia,Dr. Aziz Ponary Mlima pamoja na Maafisa wa Ubalozi wakiwakaribisha wageni waalikwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani