HIFADHI YA TAIFA YA KITULO MAKETE YAZIDI KUJIIMARISHA ZAIDI
Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akiangalia maporomoko ya maji yaliyopo kwenye hifadhi ya Taifa ya Kitulo.=======Hifadhi ya Taifa ya Kitulo iliyopo wilayani Makete mkoani Njombe imejipanga vilivyo kuongeza vivutio vipya vya utalii hifadhini humo pamoja na kuboresha miundombinu ya barabara na njia za kupita watalii ili wafurahie vivutio vilivyopo hifadhini humo.
Akizungumza mbele ya kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Makete iliyofanya ziara hifadhini humo, Kaimu mkuu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Ndege warukao kutoka Hifadhi ya Taifa ya Kitulo hadi Ulaya
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Hifadhi ya Kitulo na vivutio vya maua
SEPTEMBA 16, 2005 serikali ililitangaza rasmi eneo la Kitulo kuwa Hifadhi ya Taifa. Hifadhi hii ni muhimu katika kuchangia ukuaji wa maendeleo ya kiuchumi kwa taifa letu. Kitulo ambayo awali...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Meza yazidi kujiimarisha
TIMU ya taifa ya mpira wa meza iliyoweka kambi nchini China, imezidi kuongezewa mashindano ya kujipima nguvu. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, mmoja wa wachezaji wanaounda timu hiyo, Amon Tumaini, alisema katika...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Hifadhi ya Kitulo kuongezwa vivutio vya farasi na baiskeli
HIVI sasa ni Hifadhi ya Taifa ya Kitulo, lakini awali eneo hilo lilijulikana kwa jina la Elton Plateau, lililovumbuliwa na Fredrick Elton mwaka 1870. Kutokana na umuhimu wa eneo hilo...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/16.jpg)
YANGA YAZIDI KUJIIMARISHA NA KAGAME
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Tanzania yazidi kujiimarisha kiulinzi-Kikwete
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Serikali yazidi kubanwa deni mifuko ya hifadhi
9 years ago
VijimamboIDADI YA RAIA WA BURUNDI WANAOINGIA NCHINI KUTAFUTA HIFADHI YA UKIMBIZI YAZIDI KUONGEZEKA
Idadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi inazidi kuongezeka siku hadi siku ambapo hadi...
11 years ago
Michuzi07 Jun
MKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MADEREVA BODABODA NA WAJASIRIAMALI MAKETE