Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IDADI YA RAIA WA BURUNDI WANAOINGIA NCHINI KUTAFUTA HIFADHI YA UKIMBIZI YAZIDI KUONGEZEKA

Baadhi ya Wakimbizi kutoka Burundi wakipokelewa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta, wilayani Kobondo, mkoani Kigoma. Idadi ya wakimbizi kutoka nchini humo inazidi kuongezeka siku hadi siku. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiWatoto wa Wakimbizi kutoka Burundi wakiwa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, mkoani Kigoma ambapo wanahifadhiwa
Idadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi inazidi kuongezeka siku hadi siku ambapo hadi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kigoma wapongezwa kwa ubunifu wa kuwasafirisha waomba hifadhi ya ukimbizi kutoka Burundi wanaoingia nchini

Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya (mwenye koti) akipata maelezo ya njia ya kutembea kwa miguu kutoka Kagunga hadi Mkigo kutoka kwa mkazi wa kijiji hicho, Mahmud Ahmad wakati alipokagua njia hiyo ili itumike kuwasafirisha waomba hifadhi ya ukimbizi wa Burundi, tarehe 17 Mei, 2015, (mwenye Kaunda suti ) ni Mkurugenzi Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen, Mbazi Msuya. Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya (mwenye koti) akiwa katika kijiji cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Idadi ya vijana wanaoajiriwa yazidi kuongezeka

Idadi ya vijana wanaoajiriwa katika utumishi wa umma yaongezeka na vijana wengi wamekuwa na mwamko na hamasa ya kupenda kufanya kazi katika utumishi wa umma

 

10 years ago

Mtanzania

Raia 1800 wa Burundi waomba hifadhi nchini

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

RAIA wa Burundi waliongia nchini na kuomba hifadhi wamefikia 1,852 hadi sasa.

Taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga, ilieleza raia hao waliingia nchini kupitia vijiji mbalimbali vya Mkoa wa Kigoma.

Alivitaja vijiji hivyo kuwa ni pamoja na Kigaye, Sekeoya na Kakonko. Vingine ni Kosovo, Kagunga na Kibuye, huku wengine wakiwa wamepitia katika Kituo cha Uhamiaji cha Manyovu kilichopo mkoani humo.

Alisema baada ya...

 

9 years ago

Michuzi

IDADI YA WANAFUNZI WANONUFAIKA NA MIKOPO YAZIDI KUONGEZEKA

Na Jenikisa NdileIdadi ya wanafunzi  wanaopata  mikopo kutoka   Bodi ya Mikopo  kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imekuwa imeongezeka mwaka hadi mwaka na kusaidia kuongeza idadi ya watanzania wanaopata elimu ya juu.


Katika mwaka wa masomo wa 2005/2006 Bodi ya Mikopo ilitoa mikopo kwa  wanafunzi 42,729 iliyogharimu sh.  bilioni 56.1  na mwaka wa masomo wa 2014/2015 bodi ya mikopo ilitoa mikopo kwa wanafunzi 98,000 iliyogharimu shilingi bilioni 345.


Hayo yalisemawa leo na Kaimu...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: TAARIFA KUHUSU RAIA WA BURUNDI WALIOINGIA NCHINI KUOMBA HIFADHI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kutoa taarifa kuwa hadi jana tarehe 03 Mei, 2015 raia wa Burundi waliongia nchini kuomba hifadhi walikuwa 1,852.  Raia hawa wa Burundi waliingia nchini kupitia vijiji mbalimbali vya mkoa wa Kigoma. Vijiji hivyo ni pamoja na kijiji cha Kigaye, Sekeoya na Kakonko.  Vingine ni Kosovo, Kagunga na Kibuye, huku wengine wakiwa wamepitia katika Kituo cha Uhamiaji cha Manyovu kilichopo mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

IDADI YA WATU WALIOFARIKI DUNIA KWENYE TETEMEKO LA ARDHI NEPAL YAZIDI KUONGEZEKA

 Wanajeshi wa nchini Nepal wakiendelea kutafuta miili ya watu waliopoteza maisha katika tetemeko la ardhi  mjini Kathmand nchini Nepal. Baadhi ya miili ya watu waliopoteza maisha katika 
katika tetemeko la ardhi  mjini Kathmand nchini Nepal.Kwa msaada wa mtandaoMAMLAKA ya nchini Nepal imesema kuwa zaidi ya watu 3300 wamesemekana kufairki dunia kutokana na Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea jumamosi katika mji wa Kathmandu nchini  humo.Waokoaji wanchi hiyo wamesema wanaendelea kuchunguza...

 

10 years ago

StarTV

Wakimbizi toka Burundi wanaoingia nchini wafikia 1,635

Na Kisali Simba,

Kigoma.

 

 

Idadi ya wakimbizi wanaoingia nchini kutoka Burundi kupitia Kijiji cha Kagunga katika halmashauri ya wilaya ya Kigoma imefikia 1,635.

 

Ujio wa wakimbizi hao unatokana na machafuko yanayoendelea katika mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura ambapo Polisi kunawadhibiti waandamanaji wanaopinga mpango wa Rais Pierre Nkurunziza wa kutaka kujiongeza awamu ya tatu ya madaraka.

 

Wakimbizi wanaendelea kuingia nchini Tanzania kupitia mkoa wa kigoma   wengi wao wakiwa ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Burundi waomba hifadhi Tanzania

Zaidi ya raia elfu 20 kutoka nchini Burundi wapo magharibi mwa Tanzania wakitaka kuvuka ziwa Tanganyika kuomba hifadhi.

 

10 years ago

GPL

IS WAUA RAIA 300 WA YAZIDI NCHINI IRAQ

Raia wa Yazidi waishio nchini Iraq. KUNDI la wanamgambo wa Islamic State limewaua mateka takribani 300 ambao ni raia wa Yazidi kaskazini mwa Iraq.
Makamu wa rais nchini Iraq, Osama al-Nujifi ameyalaani mauaji hayo akiyataja kuwa ya kikatili. Taarifa zimeeleza kuwa watu hao waliuawa katika wilaya moja iliyo magharibi mwa mji wa Mosul siku ya Ijumaa. Wanamgambo wa Islamic State walithibiti maeneo yaliyo kaskazini mwa Iraq kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani