IDADI YA WANAFUNZI WANONUFAIKA NA MIKOPO YAZIDI KUONGEZEKA
Na Jenikisa NdileIdadi ya wanafunzi wanaopata mikopo kutoka Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imekuwa imeongezeka mwaka hadi mwaka na kusaidia kuongeza idadi ya watanzania wanaopata elimu ya juu.
Katika mwaka wa masomo wa 2005/2006 Bodi ya Mikopo ilitoa mikopo kwa wanafunzi 42,729 iliyogharimu sh. bilioni 56.1 na mwaka wa masomo wa 2014/2015 bodi ya mikopo ilitoa mikopo kwa wanafunzi 98,000 iliyogharimu shilingi bilioni 345.
Hayo yalisemawa leo na Kaimu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Idadi ya vijana wanaoajiriwa yazidi kuongezeka
9 years ago
VijimamboIDADI YA RAIA WA BURUNDI WANAOINGIA NCHINI KUTAFUTA HIFADHI YA UKIMBIZI YAZIDI KUONGEZEKA
Idadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi inazidi kuongezeka siku hadi siku ambapo hadi...
10 years ago
MichuziIDADI YA WATU WALIOFARIKI DUNIA KWENYE TETEMEKO LA ARDHI NEPAL YAZIDI KUONGEZEKA
katika tetemeko la ardhi mjini Kathmand nchini Nepal.Kwa msaada wa mtandaoMAMLAKA ya nchini Nepal imesema kuwa zaidi ya watu 3300 wamesemekana kufairki dunia kutokana na Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea jumamosi katika mji wa Kathmandu nchini humo.Waokoaji wanchi hiyo wamesema wanaendelea kuchunguza...
11 years ago
Habarileo20 Mar
Wanafunzi wanaopata mikopo kuongezeka
IDADI ya wanafunzi wa elimu ya juu wanaonufaika na mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESB) inatarajiwa kuongezeka, mfumo mpya wa gharama halisi kwa wanafunzi utakapoanza mwaka ujao wa fedha.
9 years ago
Habarileo12 Dec
Makontena yaliyokwepa kodi yazidi kuongezeka
MAKONTENA yaliyotolewa bila kulipa ushuru katika bandari ya Dar es Salaam yamezidi kuongezeka tangu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipobaini kutoroshwa kwa makontena 2,431 katika bandari hiyo bila kulipa ushuru. Jana Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu, Suleiman Kova, alipozungumza na waandishi wa habari, alitaja idadi mpya ya makontena hayo iliyobainika katika uchunguzi unaoendelea, yamefikia 2,489, sawa na ongezeko la makontena mapya 58.
9 years ago
Mtanzania11 Nov
Kasi ya kipindupindu yazidi kuongezeka Dodoma
NA DEBORA SANJA,DODOMA
KASI ya ugonjwa wa kipindipindu katika Manispaa ya Dodoma inazidi kuongezeka huku kwa sasa kuna wastani wa wagonjwa wapya wanane kila siku.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mganga Mkuu wa Manispaa ya Dodoma, James Charles wakati akizungumza katika kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi kilichokuwa na lengo la kuweka mikakati ya kutokomeza ugonjwa huo.
Alisema hali hiyo ya wagonjwa wapya ikiendelea hivyo, Kambi Maalumu iliyotengwa kwa ajili ya kutibu wagonjwa hao itaelemewa kwa...
5 years ago
MichuziBODI YA MIKOPO YATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI PINDI VYUO VITAKAPOFUNGULIWA
10 years ago
VijimamboBODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YASOGEZA MBELE TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 31 Julai, 2015.
Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya maombi ya mikopo katika muda uliopangwa. Itakumbukwa kuwa, awali Bodi ilianza kupokea maombi kwa njia ya mtandao tarehe 4 Mei, 2015 na mwisho wa kuwasilisha maombi ulipangwa kuwa tarehe 30 Juni, 2015.
Kupitia...
10 years ago
MichuziMH.HAMAD RASHID AWAASA WANAFUNZI KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF ILI KUPATA MIKOPO YA ELIMU NA MIKOPO YA KUANZIA MAISHA