Kasi ya kipindupindu yazidi kuongezeka Dodoma
NA DEBORA SANJA,DODOMA
KASI ya ugonjwa wa kipindipindu katika Manispaa ya Dodoma inazidi kuongezeka huku kwa sasa kuna wastani wa wagonjwa wapya wanane kila siku.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mganga Mkuu wa Manispaa ya Dodoma, James Charles wakati akizungumza katika kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi kilichokuwa na lengo la kuweka mikakati ya kutokomeza ugonjwa huo.
Alisema hali hiyo ya wagonjwa wapya ikiendelea hivyo, Kambi Maalumu iliyotengwa kwa ajili ya kutibu wagonjwa hao itaelemewa kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Idadi ya vijana wanaoajiriwa yazidi kuongezeka
9 years ago
Habarileo12 Dec
Makontena yaliyokwepa kodi yazidi kuongezeka
MAKONTENA yaliyotolewa bila kulipa ushuru katika bandari ya Dar es Salaam yamezidi kuongezeka tangu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipobaini kutoroshwa kwa makontena 2,431 katika bandari hiyo bila kulipa ushuru. Jana Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu, Suleiman Kova, alipozungumza na waandishi wa habari, alitaja idadi mpya ya makontena hayo iliyobainika katika uchunguzi unaoendelea, yamefikia 2,489, sawa na ongezeko la makontena mapya 58.
9 years ago
MichuziIDADI YA WANAFUNZI WANONUFAIKA NA MIKOPO YAZIDI KUONGEZEKA
Katika mwaka wa masomo wa 2005/2006 Bodi ya Mikopo ilitoa mikopo kwa wanafunzi 42,729 iliyogharimu sh. bilioni 56.1 na mwaka wa masomo wa 2014/2015 bodi ya mikopo ilitoa mikopo kwa wanafunzi 98,000 iliyogharimu shilingi bilioni 345.
Hayo yalisemawa leo na Kaimu...
9 years ago
VijimamboIDADI YA RAIA WA BURUNDI WANAOINGIA NCHINI KUTAFUTA HIFADHI YA UKIMBIZI YAZIDI KUONGEZEKA
Idadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi inazidi kuongezeka siku hadi siku ambapo hadi...
10 years ago
MichuziIDADI YA WATU WALIOFARIKI DUNIA KWENYE TETEMEKO LA ARDHI NEPAL YAZIDI KUONGEZEKA
katika tetemeko la ardhi mjini Kathmand nchini Nepal.Kwa msaada wa mtandaoMAMLAKA ya nchini Nepal imesema kuwa zaidi ya watu 3300 wamesemekana kufairki dunia kutokana na Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea jumamosi katika mji wa Kathmandu nchini humo.Waokoaji wanchi hiyo wamesema wanaendelea kuchunguza...
10 years ago
Dewji Blog03 Dec
Dkt. Kone asema maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI mkoani Singida yazidi kuongezeka
Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida na mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI yaliyofanyika katika kijiji cha Sepuka wilaya ya Ikungi.Kaimu mkuu huyo wa mkoa, amesema kuwa jumla ya waathirika wa VVU 17,720 mkoani hapa, 12,286 wameandikishwa kwa ajili ya kupatiwa dawa za kufumbaza virusi vinavyosababisha ugonjwa hatari wa UKIMWI.
Na Nathaniel Limu.
Jumla ya watu 17,720 mkoani Singida wanaoishi na Virusi vya Ukimwi walioandikishwa hadi...
9 years ago
MillardAyo21 Dec
List ya wachezaji wanaokimbia ubachela yazidi kuongezeka, baada ya Niyonzima, huyu ndio staa aliyefunga ndoa (+Pichaz)
Baada ya kuwa katika uchumba wa muda mrefu wa takribani miaka minne Christine Bleakley na kiungo wa zamani wa klabu ya Chelsea ya Uingereza ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya New York City Frank Lampard, December 20 amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu. Lampard sasa anaungana katika kambi ya wanasoka walioa baada […]
The post List ya wachezaji wanaokimbia ubachela yazidi kuongezeka, baada ya Niyonzima, huyu ndio staa aliyefunga ndoa (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Kipindupindu chashika kasi Dar
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
MAAMBUKIZI ya ugonjwa wa kipindupindu yamezidi kushika kasi mkoani Dar es Salaam, baada ya idadi ya wagonjwa kuongezeka kutoka 34 hadi kufikia 43.
Ongezeko hilo limekuja ikiwa ni siku tano tangu kugundulika kwa ugonjwa huo, ambao tayari umesababisha vifo vya watu watatu.
Akizungumza na MTANZANIA, Dar es Salaam jana, Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk. Azizi Msuya, alisema kutokana na ongezeko hilo, wamelazimika kutoa huduma kwa wagonjwa wote waliopo kwenye...
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Kipindupindu chashika kasi Nyamagana, Magu