Kigoma wapongezwa kwa ubunifu wa kuwasafirisha waomba hifadhi ya ukimbizi kutoka Burundi wanaoingia nchini
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya (mwenye koti) akipata maelezo ya njia ya kutembea kwa miguu kutoka Kagunga hadi Mkigo kutoka kwa mkazi wa kijiji hicho, Mahmud Ahmad wakati alipokagua njia hiyo ili itumike kuwasafirisha waomba hifadhi ya ukimbizi wa Burundi, tarehe 17 Mei, 2015, (mwenye Kaunda suti ) ni Mkurugenzi Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen, Mbazi Msuya.
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya (mwenye koti) akiwa katika kijiji cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboIDADI YA RAIA WA BURUNDI WANAOINGIA NCHINI KUTAFUTA HIFADHI YA UKIMBIZI YAZIDI KUONGEZEKA
Idadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi inazidi kuongezeka siku hadi siku ambapo hadi...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VnOk3hzpLcU/VUYymMOFQXI/AAAAAAAHVAo/cqfCnXUjx2Y/s72-c/20150503073519.jpg)
NEWS ALERT: Waomba hifadhi kutoka nchini Burundi wazidi kuwasili nchini
![](http://1.bp.blogspot.com/-VnOk3hzpLcU/VUYymMOFQXI/AAAAAAAHVAo/cqfCnXUjx2Y/s1600/20150503073519.jpg)
10 years ago
Mtanzania05 May
Raia 1800 wa Burundi waomba hifadhi nchini
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RAIA wa Burundi waliongia nchini na kuomba hifadhi wamefikia 1,852 hadi sasa.
Taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga, ilieleza raia hao waliingia nchini kupitia vijiji mbalimbali vya Mkoa wa Kigoma.
Alivitaja vijiji hivyo kuwa ni pamoja na Kigaye, Sekeoya na Kakonko. Vingine ni Kosovo, Kagunga na Kibuye, huku wengine wakiwa wamepitia katika Kituo cha Uhamiaji cha Manyovu kilichopo mkoani humo.
Alisema baada ya...
10 years ago
MichuziIdara ya uratibu wa maafa yaridhishwa na zoezi la upokeaji waomba hifadhi kutoka burundi
10 years ago
StarTV05 May
Wakimbizi toka Burundi wanaoingia nchini wafikia 1,635
Na Kisali Simba,
Kigoma.
Idadi ya wakimbizi wanaoingia nchini kutoka Burundi kupitia Kijiji cha Kagunga katika halmashauri ya wilaya ya Kigoma imefikia 1,635.
Ujio wa wakimbizi hao unatokana na machafuko yanayoendelea katika mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura ambapo Polisi kunawadhibiti waandamanaji wanaopinga mpango wa Rais Pierre Nkurunziza wa kutaka kujiongeza awamu ya tatu ya madaraka.
Wakimbizi wanaendelea kuingia nchini Tanzania kupitia mkoa wa kigoma wengi wao wakiwa ni...
10 years ago
BBCSwahili08 May
Raia wa Burundi waomba hifadhi Tanzania
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dudN6PbScSQ/U_nPwHd40bI/AAAAAAAGB_A/kp2afhWlV1g/s72-c/unnamed%2B(44).jpg)
KAMATI YA KUWAHOJI WAOMBA HIFADHI (NEC) YAANZA KAZI KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU, KIGOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-dudN6PbScSQ/U_nPwHd40bI/AAAAAAAGB_A/kp2afhWlV1g/s1600/unnamed%2B(44).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3cG9Qtne91Q/VcjjLSIWrJI/AAAAAAAHvzY/OBk5UkY5LAE/s72-c/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
NEWS ALERT: MKIMBIZI KUTOKA BURUNDI AFARIKI MKOANI KIGOMA KWA UGONJWA USIOJULIKANA, AZIKWA KWA TAHADHARI KUBWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-3cG9Qtne91Q/VcjjLSIWrJI/AAAAAAAHvzY/OBk5UkY5LAE/s320/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
Mgonjwa huyo amezikwa leo jioni kwa tahadhari zote zihusuzo magonjwa ya kuambukizwa.
Nguo, vitanda, mashuka na vitu vyake vyote alivyokuwa akitumia wakati wa uhai wake vimechomwa moto mara tu baada ya mwili wake kuzikwa eneo la Masanga nje kidogo ya mji wa Kigoma.
(Picha zinaonesha hatua mbalimbali toka...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Qkqc5h30jf8/VUdWeahkRjI/AAAAAAAHVHw/Oaey8nD5Kkc/s72-c/download.jpg)
JUST IN: TAARIFA KUHUSU RAIA WA BURUNDI WALIOINGIA NCHINI KUOMBA HIFADHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-Qkqc5h30jf8/VUdWeahkRjI/AAAAAAAHVHw/Oaey8nD5Kkc/s1600/download.jpg)
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kutoa taarifa kuwa hadi jana tarehe 03 Mei, 2015 raia wa Burundi waliongia nchini kuomba hifadhi walikuwa 1,852. Raia hawa wa Burundi waliingia nchini kupitia vijiji mbalimbali vya mkoa wa Kigoma. Vijiji hivyo ni pamoja na kijiji cha Kigaye, Sekeoya na Kakonko. Vingine ni Kosovo, Kagunga na Kibuye, huku wengine wakiwa wamepitia katika Kituo cha Uhamiaji cha Manyovu kilichopo mkoani...