Idara ya uratibu wa maafa yaridhishwa na zoezi la upokeaji waomba hifadhi kutoka burundi
Mkurugenzi Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen. Mbazi Msuya akimpongeza Nahodha wa meli ya Mv. Liemba, Mande Mangapi mara baada ya kuwafikisha salama waomba hifadhi ya ukimbizi kutoka Burundi wapatao 600, katika bandari ya Kigoma kutoka Kagunga, saa mbili usiku tarehe 15 Mei 2015, kushoto ni Kaimu Katibu Tawala mkoani Kigoma, Salvatory Shauri. Ujumbe uliongozwa na Mkurugenzi Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen. Mbazi Msuya ukiwa katika bandari ya Kigoma kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKigoma wapongezwa kwa ubunifu wa kuwasafirisha waomba hifadhi ya ukimbizi kutoka Burundi wanaoingia nchini
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: Waomba hifadhi kutoka nchini Burundi wazidi kuwasili nchini
10 years ago
BBCSwahili08 May
Raia wa Burundi waomba hifadhi Tanzania
10 years ago
Mtanzania05 May
Raia 1800 wa Burundi waomba hifadhi nchini
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RAIA wa Burundi waliongia nchini na kuomba hifadhi wamefikia 1,852 hadi sasa.
Taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga, ilieleza raia hao waliingia nchini kupitia vijiji mbalimbali vya Mkoa wa Kigoma.
Alivitaja vijiji hivyo kuwa ni pamoja na Kigaye, Sekeoya na Kakonko. Vingine ni Kosovo, Kagunga na Kibuye, huku wengine wakiwa wamepitia katika Kituo cha Uhamiaji cha Manyovu kilichopo mkoani humo.
Alisema baada ya...
10 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU IDARA YA MAAFA --YATOA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
9 years ago
MichuziZOEZI LA KUWASAJILI WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ,WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA
9 years ago
MichuziZOEZI LA KUWAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA VIZURI KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU MKOANI KIGOMA
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
Vijana Eritrea waomba hifadhi Ethiopia
11 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU KUANZA KUFANYA ZOEZI LA KUJIANDAA NA MAAFA