NEWS ALERT: MKIMBIZI KUTOKA BURUNDI AFARIKI MKOANI KIGOMA KWA UGONJWA USIOJULIKANA, AZIKWA KWA TAHADHARI KUBWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-3cG9Qtne91Q/VcjjLSIWrJI/AAAAAAAHvzY/OBk5UkY5LAE/s72-c/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
Habari na picha na Editha Karlo, wa Globu ya Jamii KigomaMTU mmoja ambaye ni raia kutoka nchi ya Burundi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Kigoma kwa ugonjwa usiojulikana.
Mgonjwa huyo amezikwa leo jioni kwa tahadhari zote zihusuzo magonjwa ya kuambukizwa.
Nguo, vitanda, mashuka na vitu vyake vyote alivyokuwa akitumia wakati wa uhai wake vimechomwa moto mara tu baada ya mwili wake kuzikwa eneo la Masanga nje kidogo ya mji wa Kigoma.
(Picha zinaonesha hatua mbalimbali toka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Aug
Mkimbizi afariki kwa ugonjwa wenye utata
11 years ago
Michuzi02 Jul
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-iGlDNCXKt0s/VS4z532a2XI/AAAAAAAHRPI/MkD-wZe67DE/s72-c/IMG-20150415-WA0024.jpg)
NEWZZ ALERT; WALIOFARIKI KWA RADI MKOANI KIGOMA WAAGWA KWA MAZISHI MCHANA HUU.
![](http://3.bp.blogspot.com/-iGlDNCXKt0s/VS4z532a2XI/AAAAAAAHRPI/MkD-wZe67DE/s1600/IMG-20150415-WA0024.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-uIyJDVPEHco/VS40KFfYyFI/AAAAAAAHRPQ/TxKVrru3pkI/s1600/IMG-20150415-WA0026.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Kanali Mstaafu Issa Machibya akisoma salamu za rambi rambi za mkoa wakati wa kuaga miili ya Wanafunzi na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-6SkKwQUyfds/VUDyxteaCvI/AAAAAAAHUF8/k5fkctQENn0/s72-c/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy%2B(1).jpg)
NEWS ALERT: WATUHUMIWA WATATU WA UJAMBAZI WAUWAWA MKOANI KIGOMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-6SkKwQUyfds/VUDyxteaCvI/AAAAAAAHUF8/k5fkctQENn0/s1600/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy%2B(1).jpg)
JESHI la Polisi Mkoani Kigoma limefanikiwa kuuwa majambazi watatu baada ya kurushiana risasi na kukamata silaha mbalimbali za kivita.
Akizungumzia tukio hilo ofisini kwake Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kigoma,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Frednand Mtui alisema kuwa majira ya saa nane usiku katika eneo la mto kahabwe mpakani mwa Wilaya ya Kakonko na Kibondo, askari Polisi wakiwa doria walirushiana risasi na majambazi ambao idadi yao haijajuikana na...
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
NEWS ALERT: Mtoto wa miaka 5 apoteza maisha baada ya kubakwa na watu wasiojulikana Mkoani Kigoma!
Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma SACP Ferdinand Mtui akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya tukio la kubakwa kwa mtoto wa miaka 5, lililotokea jana mkoani humo. (Picha na mwanahabari wetu)
Na Mwandishi Wetu
[KIGOMA] Mtoto mmoja alitambulika kwa majina, Asifiwe Amos mwenye miaka mitano (5) na mkazi wa kijiji cha Katuguru Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma amefariki dunia baada ya kubakwa na watu wasiojulikana na kupelekea kifo chake hicho.
Akizungumza na Waandishi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XS_AGWOg2TU/VFaKSIQeXlI/AAAAAAAGvF8/qy3vHAWfgLo/s72-c/IMG-20141102-WA0010.jpg)
NEWS ALERT: Mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuzingatia Mambo ya msingi katika katiba wavunjika kwa tafrani kubwa
Chanzo cha Tafrani hiyo, inaelezwa kuwa ni Baada ya Mh. Warioba katika taarifa yake kueleza kwamba Muungano sio tunu ila ni urithi ulioachwa na Waasisi,ndipo baadhi ya watu waliokuwepo...
10 years ago
MichuziKigoma wapongezwa kwa ubunifu wa kuwasafirisha waomba hifadhi ya ukimbizi kutoka Burundi wanaoingia nchini
9 years ago
MichuziZOEZI LA KUWASAJILI WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ,WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA
9 years ago
MichuziWAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI WAENDELEA KUWASILI KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA