Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS ALERT: Mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuzingatia Mambo ya msingi katika katiba wavunjika kwa tafrani kubwa

Tafrani kubwa imezuka jioni ya leo wakati wa Mdahalo uliondaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere wa kujadili umuhimu wa kuzingatia Mambo ya msingi katika katiba inayopendekezwa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliokuwa ukifanyika kwenye Ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza, Jijini Dar es salaam.
Chanzo cha Tafrani hiyo, inaelezwa kuwa ni Baada ya Mh. Warioba katika taarifa yake kueleza kwamba Muungano sio tunu ila ni urithi ulioachwa na Waasisi,ndipo baadhi ya watu waliokuwepo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA MDAHALO WA UMUHIMU WA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI KATIKA KATIBA JIJINI D

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba akitoa mada katika mdahalo wa kujadili Umuhimu wa Kuzingatia Mambo ya Msingi Katika Katiba Pendekezwa unaofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar. Wananchi wakifuatilia mdhalo huo.…

 

11 years ago

Michuzi

MDAHALO WA KUJADILI UMUHIMU WA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI KATIKA KATIBA INAYOPENDEKEZWA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA UTAKAOFANYIKA KWENYE HOTELI YA BLUE PEARL, UBUNGO PLAZA DAR ES SALAAM JUMAPILI TAREHE 2 NOVEMBA 2014 KUANZIA SAA 9.00 MCHANA MPAKA

      Taasisi ya Mwalimu Nyerere inapenda kutoa taarifa kwamba imeandaa mdahalo wa Pili wenye lengo la kujadili umuhimu  wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba. Mambo ya msingi  yaliyomo katika Katiba hiyo yataainishwa  na kujadiliwa na washiriki wa Mdahalo.  Taasisi ya Mwalimu Nyerere inapenda kusisitiza kuwa lengo la mdahalo si malumbano au makatazo:
 Lengo ni kutoa fursa kwa washiriki wa mdahalo na wananchi kwa ujumla kujielimisha kuhusu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo ya msingi kuzingatia katika uchanganuzi wa masoko

Masoko ni kitu muhimu sana katika biashara. Pasipokuwa na masoko ya bidhaa/huduma hakuna biashara. Kwa maneno mengine kukua kwa biashara kunatokana na uwepo wa masoko ya uhakika. Kwa lugha rahisi masoko ni wateja au watumiaji wa huduma au bidhaa husika na ili uweze kuwapata sharti utoe huduma/bidhaa zenye kukidhi mahitaji yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo ya msingi ya kuzingatia katika upangaji bei za bidhaa

Mara nyingi wajasiriamali wamekuwa wakipata changamoto mbalimbali katika upangaji bei za bidhaa zao au huduma wanazozitoa. Matokeo yake wamekuwa wakipanga bei ambazo hazina uhalisia katika dunia yao ya kufanyia biashara.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MKIMBIZI KUTOKA BURUNDI AFARIKI MKOANI KIGOMA KWA UGONJWA USIOJULIKANA, AZIKWA KWA TAHADHARI KUBWA

Habari na picha na Editha Karlo, wa Globu ya Jamii Kigoma

MTU mmoja ambaye ni raia kutoka nchi ya Burundi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Kigoma  kwa ugonjwa usiojulikana. 
Mgonjwa huyo amezikwa leo jioni  kwa tahadhari zote zihusuzo magonjwa ya kuambukizwa.
Nguo, vitanda, mashuka na vitu vyake vyote alivyokuwa akitumia wakati wa uhai wake vimechomwa moto mara tu baada ya mwili wake kuzikwa eneo la Masanga nje kidogo ya mji wa Kigoma.
(Picha zinaonesha hatua mbalimbali toka...

 

11 years ago

Vijimambo

PICHA ZA MDAHALO WA KUJADILI KATIBA ULIVYOVUNJIKA

Jaji Joseph Warioba akitoa mada. Mtoa mada katika mdahalo wa kujadili Katiba inayopendekezwa, Jaji Joseph Warioba akitoa mada kabla ya mkutano huo kuvunjika katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Saam leo.Baadhi ya vijana walioingia na mabango ndani ya ukumbi wa mkutano wakiwa na mabango yaliyokuwa yakisomeka ‘Katiba inayopendekezwa tumeipokea tunaiunga mkono’.Mlinzi wa Jaji Joseph Warioba (kushoto) akimkinga kwa mikono ili asipate madhara baada ya mdahalo wa kujadili Katiba...

 

11 years ago

Mwananchi

Mambo ya kuzingatia katika kuendesha ujasiriamali kwa mafanikio na furaha

Baadhi ya wajasiriamali waliofanikiwa wanajiona kama rasilimali adimu hapa duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani