NEWS ALERT: WATUHUMIWA WATATU WA UJAMBAZI WAUWAWA MKOANI KIGOMA
Na Editha Karlo,Kigoma
JESHI la Polisi Mkoani Kigoma limefanikiwa kuuwa majambazi watatu baada ya kurushiana risasi na kukamata silaha mbalimbali za kivita.
Akizungumzia tukio hilo ofisini kwake Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kigoma,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Frednand Mtui alisema kuwa majira ya saa nane usiku katika eneo la mto kahabwe mpakani mwa Wilaya ya Kakonko na Kibondo, askari Polisi wakiwa doria walirushiana risasi na majambazi ambao idadi yao haijajuikana na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNEWSSSSS ALERT!!!!!!!!!! MAJAMBAZI WATATU WAUWAWA NA WAWILI WATIWA MBARONI
Tukio hilo la kukamatwa na kuuawa kwa majambazi hao lilitokea Julai 17 mwaka huu huko maeneo ya Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam, na majambazi wa tukio la kinyama la kuuwawa kwa askari wanne na raia watatu katika kituo cha Stakishari wanakadiriwa kuwa kati ya 16 hadi...
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
NEWS ALERT: Mtoto wa miaka 5 apoteza maisha baada ya kubakwa na watu wasiojulikana Mkoani Kigoma!
Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma SACP Ferdinand Mtui akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya tukio la kubakwa kwa mtoto wa miaka 5, lililotokea jana mkoani humo. (Picha na mwanahabari wetu)
Na Mwandishi Wetu
[KIGOMA] Mtoto mmoja alitambulika kwa majina, Asifiwe Amos mwenye miaka mitano (5) na mkazi wa kijiji cha Katuguru Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma amefariki dunia baada ya kubakwa na watu wasiojulikana na kupelekea kifo chake hicho.
Akizungumza na Waandishi wa...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: MKIMBIZI KUTOKA BURUNDI AFARIKI MKOANI KIGOMA KWA UGONJWA USIOJULIKANA, AZIKWA KWA TAHADHARI KUBWA
MTU mmoja ambaye ni raia kutoka nchi ya Burundi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Kigoma kwa ugonjwa usiojulikana.
Mgonjwa huyo amezikwa leo jioni kwa tahadhari zote zihusuzo magonjwa ya kuambukizwa.
Nguo, vitanda, mashuka na vitu vyake vyote alivyokuwa akitumia wakati wa uhai wake vimechomwa moto mara tu baada ya mwili wake kuzikwa eneo la Masanga nje kidogo ya mji wa Kigoma.
(Picha zinaonesha hatua mbalimbali toka...
5 years ago
MichuziWATUHUMIWA WA UJAMBAZI WAKAMATWA WAKIWA NJIANI KWENDA KUFANYA UHALIFU MKOANI ARUSHA
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Jonathan Shana akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mwenye Suti ya blue wakitoka kukagua gari Lilikuwa likitumiwa na majambazi hao aina ya Toyota Crown lenye namba za usajili T777DSJ wakati akitoa taarifa ya kukamatwa kwa majambazi wanne Leo jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akilipongeza Jeshi la Polisi kwa kutumia sheria ya tii bila shuruti na kufanikiwa kukamata majambazi wanne bila kuwapiga...
9 years ago
StarTV15 Nov
Polisi mkoani Geita yakamata watuhumiwa watatu wa mlipuko wa mabomu
Polisi Mkoani Geita wamefanikiwa kuwakamata watu waliohusika na tukio la kulipua kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu katika nyumba ya Afisa Mafunzo wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita Lucy Joseph tukio lililotokea Oktoba 28 mwaka huu.
Jeshi hilo limewakamata watuhumiwa watatu na milipuko 27 inayotumiwa kufanya uhalifu katika Mkoa wa Geita, Kahama Mkoani Shinyanga na Babati Mkoani Manyara.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Peter Kakamba akizungumza na Waandishi wa Habari amesema watuhumiwa hao...
9 years ago
MichuziNEWS ALERT: WATUMISHI WENGINE WATATU WASIMAMISHWA KAZI TRA
Uamuzi huo umetolewa leo (Jumamosi, Novemba 28, 2015), na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ili kupisha uchunguzi zaidi wa tuhuma zinazowakabili. Kama ilivyo kwa wenzao sita waliosimamishwa kazi jana (akiwemo aliyekuwa Kamishna Mkuu), nao pia hawaruhusiwi kusafiri kwenda nje...
11 years ago
MichuziNEWS ALERT: WATATU WAHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM DODOMA LEO
Waziri Mkuu wa Zamani Ndugu Fredrick Sumaye akiwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma tayari kwa kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili. Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Edward Lowasa akizungumza na Waziri Mkuu wa Zamani Ndugu Fredrick Sumaye kabla ya kuanza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma. Ndugu William Ngeleja akisubiri kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama. Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Edward...
10 years ago
Michuzi13 Jul
NEWS ALERT: WATU KADHAA WAUWAWA, SILAHA ZAPORWA BAADA YA MAJAMBAZI KUVAMIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA SITAKISHARI, UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema kwamba askari polisi kadhaa kituoni hapo pamoja na raia mmoja wameuwawa. Silaha kadhaa pia inasemekana zimeporwa na askari wako eneo la tukio hivi sasa.
Tunaendelea kufuatilia taarifa hii na tutawajuza maendeleo yake kadri tutapopata fununu...
11 years ago
MichuziNews alert: watatu wapoteza maisha zaidi ya 60 wajeruhiwa kwa mabomu kwenye mabasi ya abiria nairobi leo
Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi la Kenya Bw. Moses Ombati amenukuliwa akisema kuwa mabomu hayo yamelipuka kwenye mabasi ya abiria mawili tofauti, ambapo Naibu Mkuu wa kitengo cha kutengua Mabomu, Bw, Eliud Lagat amesema milipuko hiyo imetokana na mabomu...