JUST IN: TAARIFA KUHUSU RAIA WA BURUNDI WALIOINGIA NCHINI KUOMBA HIFADHI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kutoa taarifa kuwa hadi jana tarehe 03 Mei, 2015 raia wa Burundi waliongia nchini kuomba hifadhi walikuwa 1,852. Raia hawa wa Burundi waliingia nchini kupitia vijiji mbalimbali vya mkoa wa Kigoma. Vijiji hivyo ni pamoja na kijiji cha Kigaye, Sekeoya na Kakonko. Vingine ni Kosovo, Kagunga na Kibuye, huku wengine wakiwa wamepitia katika Kituo cha Uhamiaji cha Manyovu kilichopo mkoani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania05 May
Raia 1800 wa Burundi waomba hifadhi nchini
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RAIA wa Burundi waliongia nchini na kuomba hifadhi wamefikia 1,852 hadi sasa.
Taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga, ilieleza raia hao waliingia nchini kupitia vijiji mbalimbali vya Mkoa wa Kigoma.
Alivitaja vijiji hivyo kuwa ni pamoja na Kigaye, Sekeoya na Kakonko. Vingine ni Kosovo, Kagunga na Kibuye, huku wengine wakiwa wamepitia katika Kituo cha Uhamiaji cha Manyovu kilichopo mkoani humo.
Alisema baada ya...
10 years ago
VijimamboIDADI YA RAIA WA BURUNDI WANAOINGIA NCHINI KUTAFUTA HIFADHI YA UKIMBIZI YAZIDI KUONGEZEKA
Idadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi inazidi kuongezeka siku hadi siku ambapo hadi...
10 years ago
BBCSwahili08 May
Raia wa Burundi waomba hifadhi Tanzania
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: Waomba hifadhi kutoka nchini Burundi wazidi kuwasili nchini

5 years ago
BBCSwahili02 Mar
Coronavirus: Raia wanne wa kigeni walioingia na mafua Uganda watengwa
10 years ago
MichuziKigoma wapongezwa kwa ubunifu wa kuwasafirisha waomba hifadhi ya ukimbizi kutoka Burundi wanaoingia nchini
10 years ago
Vijimambo
HOSPITALI MAARUFU DAR YAFILISIKA NA KUOMBA HIFADHI MAHAKAMANI

In a petition filed last week before the High Court's Main Registry, the company alleges that it has been incurring losses in terms of billions to the extent of having several outstanding liabilities and debts which are now exceeding its ability to pay to different...