Serikali yazidi kubanwa deni mifuko ya hifadhi
Vyama zaidi vya wafanyakazi, vimeendelea kujitokeza na kuungana na kuibana Serikali na kuitaka ilipe deni la Sh7 trilioni inalodaiwa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, kadhalika kuondoa mpango wake wa kupunguza mafao ya wastaafu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Serikali inafilisi Mifuko Hifadhi ya Jamii
10 years ago
Habarileo26 Nov
Serikali yajipanga kulipa mifuko ya hifadhi
SERIKALI imesema inaandaa utaratibu wa kulipa fedha zote inazodaiwa na mifuko ya hifadhi ya jamii nchini.
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
‘Serikali ilipe madeni mifuko hifadhi ya jamii’
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, Said Mtanda, ameitaka serikali kulipa madeni ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, ili kusaidia mifuko hiyo kuweza kufanya shughuli za maendeleo...
11 years ago
Habarileo26 May
Serikali yakanusha kutohudumia mikopo Mifuko ya hifadhi
MIKOPO inayotolewa na Mifuko ya Hifadhi za Jamii nchini kwa serikali nchini inatolewa baada ya kudhibitishwa na Benki Kuu (BoT) na SSRA ambayo pia inasimamia ulipwaji wake ambao serikali inaendelea kulipa.
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Serikali yabanwa ilipe Sh8.4 tril mifuko ya hifadhi
11 years ago
Mwananchi28 May
Fedha mifuko ya hifadhi zisichezewe
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Changamoto za mifuko ya hifadhi ya jamii
11 years ago
Habarileo30 Mar
Wahadharishwa kutojiunga na mifuko ya hifadhi kiholela
WALIMU wapya wameshauriwa kutokubali kuandikishwa kuingia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii katika mazingira yasiyo rasmi na badala yake wafike katika ofisi za wakurugenzi zilizoko katika halmashauri walizopangiwa.
10 years ago
Habarileo21 Oct
Bunge lahaha kuikwamua mifuko ya hifadhi za jamii
KATIKA kuhakikisha mifuko ya hifadhi za jamii nchini haitetereki kiuchumi, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imelazimika kuingilia kati kusaka suluhu ya hatima ya deni la Sh trilioni 8.4 ambalo Serikali inadaiwa na mifuko hiyo.