Serikali yakanusha kutohudumia mikopo Mifuko ya hifadhi
MIKOPO inayotolewa na Mifuko ya Hifadhi za Jamii nchini kwa serikali nchini inatolewa baada ya kudhibitishwa na Benki Kuu (BoT) na SSRA ambayo pia inasimamia ulipwaji wake ambao serikali inaendelea kulipa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 Nov
Serikali yajipanga kulipa mifuko ya hifadhi
SERIKALI imesema inaandaa utaratibu wa kulipa fedha zote inazodaiwa na mifuko ya hifadhi ya jamii nchini.
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Serikali inafilisi Mifuko Hifadhi ya Jamii
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Serikali yazidi kubanwa deni mifuko ya hifadhi
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
‘Serikali ilipe madeni mifuko hifadhi ya jamii’
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, Said Mtanda, ameitaka serikali kulipa madeni ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, ili kusaidia mifuko hiyo kuweza kufanya shughuli za maendeleo...
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Serikali yabanwa ilipe Sh8.4 tril mifuko ya hifadhi
11 years ago
Mwananchi28 May
Fedha mifuko ya hifadhi zisichezewe
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Changamoto za mifuko ya hifadhi ya jamii
11 years ago
Habarileo30 Mar
Wahadharishwa kutojiunga na mifuko ya hifadhi kiholela
WALIMU wapya wameshauriwa kutokubali kuandikishwa kuingia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii katika mazingira yasiyo rasmi na badala yake wafike katika ofisi za wakurugenzi zilizoko katika halmashauri walizopangiwa.