Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YAZIDI KUJIIMARISHA NA KAGAME

Mshambuliaji mpya wa Yanga kutoka timu ya Platinum ya Zimbabwe, Donald Ngoma, akionesha umahiri wake wa kuchezea mpira kwenye mazoezi hayo. KIKOSI cha Yanga leo kimeendelea kujiimarisha kwa ajili ya michuano ya Kombe la Kagame ambayo inatarajiwa kutimua vumbi jijini Dar es Salaam hivi karibuni.... HABARI NA PICHA ZAIDI===>http://bit.ly/1LW0xeT

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Meza yazidi kujiimarisha

TIMU ya taifa ya mpira wa meza iliyoweka kambi nchini China, imezidi kuongezewa mashindano ya kujipima nguvu. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, mmoja wa wachezaji wanaounda timu hiyo, Amon Tumaini, alisema katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yazidi kujiimarisha kiulinzi-Kikwete

Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania imezidi kujiimarisha kiulinzi baada ya kuanza kuwasomesha maofisa wake hapa nchini, ambao awali walikuwa wakienda kusoma nje ya nchi.

 

10 years ago

Michuzi

HIFADHI YA TAIFA YA KITULO MAKETE YAZIDI KUJIIMARISHA ZAIDI

 Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akiangalia maporomoko ya maji yaliyopo kwenye hifadhi ya Taifa ya Kitulo.=======Hifadhi ya Taifa ya Kitulo iliyopo wilayani Makete mkoani Njombe imejipanga vilivyo kuongeza vivutio vipya vya utalii hifadhini humo pamoja na kuboresha miundombinu ya barabara na njia za kupita watalii ili wafurahie vivutio vilivyopo hifadhini humo. Akizungumza mbele ya kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Makete iliyofanya ziara hifadhini humo, Kaimu mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

HOMA YA MICHUANO YA KAGAME YAZIDI KUPAMBA MOTO

Homa ya michuano ya Kagame inazidi kupamba moto kufuatia vilabu mbalimbali zinazoshirki michuano hiyo kuanza kuwasili jijini Dar es salaam zikiwa na vikosi vyao kamili kwa lengo la kusaka Ubingwa wa michuano hiyo.
APR ya Rwanda tayari imeshawasili jijjini Dar es salaam, pamoja na timu za Al Shandy ya Sudan, KMKM ya Visiwani Znzibar, huku timu za Al Malakia ya Sudan Kusini na mabingwa mara tano wa michuano hiyo Gor Mahia wakitarajiwa kuwasili leo saa saa 10 jioni kwa ndege ya Kenya...

 

10 years ago

Michuzi

MICHUANO YA KAGAME CUP YAZIDI KUPAMBA MOTO

Mechi kati ya APR ya Rwanda na
Al Shandy Kagame Cup 2015.
Picha na Bin ZubeiryMichuano ya Kombe la Kagame inayoendelea kutimua vumbi katika viwanja viwili vya Taifa na Karume vilivyopo jijini Dar es salaam, itaendelea kesho kwa michezo miwili itayopigwa katika dimba la Uwanja wa Taifa.
Katika michezo iliyochezwa leo, Malakia ya Sudani Kusini iliibuka na ushindi wa mabao 2- 1 dhidi ya Adama City ya Ethiopia, LLB ya Burundi ikitoka sare ya bila kufungana na  Heegan FC ya Somalia mchezo...

 

9 years ago

Habarileo

‘Yanga yazidi kuimarika’

KOCHA Mkuu wa Yanga Hans van Pluijm amesema kikosi chake kinazidi kuimarika na kipo tayari kuikabili Azam kwenye mechi ya ngao ya jamii mwishoni mwa wiki hii.

 

10 years ago

GPL

YANGA YAJIWINDA NA KOMBE LA KAGAME

Kocha Hans van Pluijm (mwenye kofia) akiwapa maelekezo wachezaji wake. Kocha Msaidizi, Charles Boniface Mkwasa, akitoa maelekezo kwa wachezaji.
Mchezaji mpya wa Yanga, Lansana…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kagame yaipeleka Yanga Pemba

KLABU ya Yanga, imepanga kuipeleka timu visiwani Pemba kwa kambi ya kujiandaa na michuano ya Kombe la Kagame itakayoanza Agosti 8, jijini Kigali, Rwanda. Yanga iliyopo kundi A, itaanza kampeni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga kuongeza wa Stars Kagame

NYOTA sita wa klabu ya Yanga waliotua nchini jana wakiwa na kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, watajumuishwa katika safari ya kwenda Kigali, Rwanda kushiriki michuano ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani