Kagame yaipeleka Yanga Pemba
KLABU ya Yanga, imepanga kuipeleka timu visiwani Pemba kwa kambi ya kujiandaa na michuano ya Kombe la Kagame itakayoanza Agosti 8, jijini Kigali, Rwanda. Yanga iliyopo kundi A, itaanza kampeni...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania06 Aug
CECAFA yaiondoa Yanga Kagame
![Marcio Maximo](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Marcio-Maximo1.jpg)
Kocha mpya wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Marcio Maximo
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limeiondoa timu ya Yanga kwenye michuano ya Kombe la Kagame, kutokana na kupeleka kikosi cha timu ya vijana, jambo ambalo ni kinyume na kanuni, hivyo imeiteua Azam FC kuchukua nafasi yake.
Katika michuano hiyo iliyoepangwa kuanza Jumamosi hadi Agosti 23, jijini Kigali, Rwanda na Yanga ilipangwa kufungua pazia kwa kucheza dhidi ya wenyeji...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/16.jpg)
YANGA YAZIDI KUJIIMARISHA NA KAGAME
10 years ago
GPLYANGA YAJIWINDA NA KOMBE LA KAGAME
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Yanga kuongeza wa Stars Kagame
NYOTA sita wa klabu ya Yanga waliotua nchini jana wakiwa na kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, watajumuishwa katika safari ya kwenda Kigali, Rwanda kushiriki michuano ya...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Yanga yaanika nyota Kagame
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, jana alitangaza kikosi kitakachokwenda mjini Kigali, Rwanda kucheza michuano ya Kombe la Kagame itakayoanza kutimua vumbi Agosti 8. Akizungumza jijini Dar...
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Nsajigwa kuinoa Yanga Kagame
KLABU ya Yanga imewateua Kocha Msaidizi, Mbrazil Leonardo Neiva na beki wa zamani wa timu hiyo na Taifa Stars, Shadrack Nsajigwa ambaye ni kocha wa timu B kusafiri na kikosi...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Okwi aitamani Yanga Kagame
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi, amesema hana tatizo na viongozi wa Yanga, hivyo amepanga kurejea na kujiunga na timu hiyo kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la...
10 years ago
Mtanzania19 May
Michuano ya Kagame kuifunza Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Der Pluijm, amesema atatumia michuano ya Kombe la Kagame kujifunza mbinu za kukisaidia kikosi chake katika michuano ya kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika na siyo usajili.
Michuano ya Kagame inatarajiwa kufanyika hapa jijini Dar es Salaam Julai mwaka huu, kwa kushirikisha mabingwa wa klabu ambao ni wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).
Akizungumza na MTANZANIA jana akiwa nchini Ghana kwa...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Yanga kuanza na Rayon Kagame
BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), jana lilitoa ratiba ya Kombe la Klabu Bingwa maarufu kama Kagame Cup, huku Yanga ikipangwa kufungua dimba na Rayon Sports...