Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nsajigwa kuinoa Yanga Kagame

KLABU ya Yanga imewateua Kocha Msaidizi, Mbrazil Leonardo Neiva na beki wa zamani wa timu hiyo na Taifa Stars, Shadrack Nsajigwa ambaye ni kocha wa timu B kusafiri na kikosi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kocha Maximo amtwisha Nsajigwa zigo la Kagame

>Katika hali inayoonekana kuwa na hofu ya  kuchafua rekodi yake mapema Kocha mkuu wa Yanga, Marcio Maximo ameikacha  michuano ya Kagame kwa kumpa jukumu kocha wa timu ya vijana, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’  kuhakikisha anarudi na ubingwa wa Kombe la Kagame.

 

11 years ago

Mwananchi

UKOCHA: Nsajigwa atua Yanga

>Beki wa zamani wa Yanga, Shadrack Nsajigwa ameanza kazi rasmi ya kukinoa kikosi cha vijana cha timu hiyo (Yanga B), huku akiahidi kuwaandaa wachezaji kwa weledi.

 

11 years ago

GPL

MKWASA, PONDAMALI, KUINOA YANGA

Uongozi wa Young Africans SC umepata warithi wa nafasi tatu za benchi la ufundi (Charles Boniface Mkwasa, Juma Pondamali na Dr. Suphian Juma), huku wakiendelea na mchakato kumpata kocha mkuu ambaye atachukua nafasi ya mholanzi Ernie Brandts aliyesitishiwa mkataba wake mwishoni mwa mwaka 2013. Charles Boniface Mkwasa 'Master' aliyekua kocha mkuu wa timu ya Ruvu Shooting katika mzunguko wa kwanza anachukua nafasi ya aliyekua kocha...

 

11 years ago

GPL

Kocha Mbelgiji ajitolea kuinoa Yanga

Kocha Luc Eymael raia wa Ubelgiji. Na Hans Mloli
SAA chache baada ya kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm kuweka wazi kwamba hataendelea kuinoa timu hiyo msimu ujao, tayari Kocha Luc Eymael raia wa Ubelgiji ametangaza kuwa yupo tayari kuchukua mikoba ya Mholanzi huyo. Pluijm amemaliza mkataba wake wa miezi sita na jana alitangaza kutimkia Saudi Arabia alikopata ofa nzuri zaidi kuinoa Al Shoala SC inayoshiriki ligi kuu...

 

10 years ago

GPL

YANGA YAMGOMEA KOCHA WAKE KUINOA STARS

Kocha msaidi wa klabu ya Yanga Charles Boniface Mkwassa. Na Phillip Nkini KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imewekewa ngumu na Klabu ya Yanga, baada ya Wanajangwani hao kumgomea kocha wao kuifundisha Taifa Stars. Juzi kamati hiyo ilimtimua aliyekuwa Kocha Mkuu wa Stars, Mart Nooij, baada ya kulala kwa mabao 3-0 kutoka kwa timu ya taifa ya Uganda kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ndani...

 

10 years ago

Mtanzania

Michuano ya Kagame kuifunza Yanga

pluijmNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Der Pluijm, amesema atatumia michuano ya Kombe la Kagame kujifunza mbinu za kukisaidia kikosi chake katika michuano ya kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika na siyo usajili.
Michuano ya Kagame inatarajiwa kufanyika hapa jijini Dar es Salaam Julai mwaka huu, kwa kushirikisha mabingwa wa klabu ambao ni wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).
Akizungumza na MTANZANIA jana akiwa nchini Ghana kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Okwi aitamani Yanga Kagame

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi, amesema hana tatizo na viongozi wa Yanga, hivyo amepanga kurejea na kujiunga na timu hiyo kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani