Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Maximo amtwisha Nsajigwa zigo la Kagame

>Katika hali inayoonekana kuwa na hofu ya  kuchafua rekodi yake mapema Kocha mkuu wa Yanga, Marcio Maximo ameikacha  michuano ya Kagame kwa kumpa jukumu kocha wa timu ya vijana, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’  kuhakikisha anarudi na ubingwa wa Kombe la Kagame.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

JK amtwisha zigo Rais mpya

Mwanza. Wafanyakazi jana walimsomea Rais Jakaya Kiwete madai 11 wanayomtaka awatimizie kabla ya kumaliza muda wake Oktoba, lakini mkuu huyo wa nchi amesema ataishia pale atakapoweza na kumuachia mrithi wake kazi ya kushughulikia mengine.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nsajigwa kuinoa Yanga Kagame

KLABU ya Yanga imewateua Kocha Msaidizi, Mbrazil Leonardo Neiva na beki wa zamani wa timu hiyo na Taifa Stars, Shadrack Nsajigwa ambaye ni kocha wa timu B kusafiri na kikosi...

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Phiri ajitwisha zigo la lawama

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuacha kumsakama kipa Ivo Mapunda na kutaka lawama zote abebeshwe yeye kwani yupo tayari kuwajibika.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Maximo awagawa Chambua,Lunyamila

Kiwango duni cha uchezaji Yanga kimewatia kiwewe mashabiki, wanachama na baadhi ya wachezaji wa zamani wa klabu hiyo wanaodai kocha Marcio Maximo ndiye chanzo lazima awajibiashwe.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Maximo atimkia kwao, aacha maagizo

Kocha Marcio Maximo ameondoka nchini jana kwenda kwao Brazil kwa mapumziko ya wiki mbili huku akiwapa wachezaji wake programu kali ya mazoezi ya siku 10.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kocha Maximo aibeza Simba Mtani Jembe

KOCHA Mkuu wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, Marcio Maximo, amewabeza mahasimu wao wa soka nchini Simba kwa kusema pambano la Nani Mtani Jembe alimuumizi kichwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Okwi, Kiiza wampasua kichwa kocha Maximo

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amesema mchezaji yeyote mwenye ubinafsi hana nafasi kwenye kikosi chake, huku akishindwa kujua yupi wa kumuacha kati ya wachezaji wawili wa kimataifa.

 

10 years ago

Michuzi

kadhia ya kocha Marcio Maximo yaibu mazito Yanga!

Timua timua ndani ya Yanga imeibua kadhia kubwa ambapo zaiodi  ya TSh  bilioni 3 ndani ya klabu hiyo zikidawia kuchotwa na kwamba uchunguzi unaendelea. Mwanasheria wa Yanga George Chacha ameiambaia Globu ya Jamii kwamba  pamoja na kuwa ukaguzi bado unaendelea lakini huenda kuna mabilioni ya fedha yakawa yameyeyuka  ndani ya klabu hiyo. Alisema: "Kwa haraka haraka kuna fedha kiasi cha dola 2500 za tiketi ya mke wa aliyekuwa kocha msaidizi  Leonado Neiva, aliyetakiwa atumiwe ili aje, hizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani