kadhia ya kocha Marcio Maximo yaibu mazito Yanga!
Timua timua ndani ya Yanga imeibua kadhia kubwa ambapo zaiodi ya TSh bilioni 3 ndani ya klabu hiyo zikidawia kuchotwa na kwamba uchunguzi unaendelea. Mwanasheria wa Yanga George Chacha ameiambaia Globu ya Jamii kwamba pamoja na kuwa ukaguzi bado unaendelea lakini huenda kuna mabilioni ya fedha yakawa yameyeyuka ndani ya klabu hiyo. Alisema: "Kwa haraka haraka kuna fedha kiasi cha dola 2500 za tiketi ya mke wa aliyekuwa kocha msaidizi Leonado Neiva, aliyetakiwa atumiwe ili aje, hizo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1woB2S6sQ1U/U7emH6l6JBI/AAAAAAAFvHg/2SX6wHIPVtI/s72-c/MMGL0008.jpg)
Yanga yaendelea kujifua mchangani chini ya Kocha Marcio Maximo
![](http://1.bp.blogspot.com/-1woB2S6sQ1U/U7emH6l6JBI/AAAAAAAFvHg/2SX6wHIPVtI/s1600/MMGL0008.jpg)
10 years ago
Vijimambo15 Dec
MARCIO MAXIMO AONDOKA YANGA
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/12/maximo-manji-leo.tif.jpg?resize=1600%2C1074)
Habari hizi zinakuja dakika chache baada ya Millardayo.com kuripoti tetesi zinazohusu8 mustakabali wa kocha huyo Mbrazil.Maximo anaondoka Yanga baada ya uongozi wa klabu hiyo kukubaliana naye kuvunja mkataba wake baada ya kushindwa kuelewana juu ya jinsi ya kuiendesha klabu hiyo kwenye masuala ya ufundi .
Yanga ilishikilia msimamo wa kumuajiri mkurugenzi wa ufundi ambaye...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1h7YENt4dAs/U6rgCuJqWRI/AAAAAAACkQw/-sPNgwfC-M0/s72-c/maximo3.jpg)
MARCIO MAXIMO ASAINI MKATABA NA YANGA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-1h7YENt4dAs/U6rgCuJqWRI/AAAAAAACkQw/-sPNgwfC-M0/s1600/maximo3.jpg)
"Ni kweli kocha Marcio Maximo amekubali kuingia mkataba na timu ya Yanga ambapo anatarajiwa kuanza kazi rasmi tarehe 27/06/2014 ambapo atafuatana na msaidizi wake Leonardo Neiva. Mazungumzo ya makubaliano hayo...
10 years ago
TheCitizen18 Dec
Yanga, Marcio Maximo in row over contract
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Andrey Coutinho amtesa Marcio Maximo Yanga SC
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo,amesema hana uhakika kama Andrey Coutinho atacheza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC, itakayochezwa kesho katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC14q*aDxLayQr823VYTTF0DgM1dmQgPDu-Xw8ExK-9rT4R*fB3a1IXP*xPBbdumTBi*oqsYt7ZLtnhdrzt0w1tn/YANGA1.gif?width=650)
Yanga yatangaza waliopigwa chini, kisa Marcio Maximo
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Marcio Maximo aomba mechi mbili kuwavaa Azam FC
MKUU wa benchi la ufundi la timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, ameomba kwa uongozi wa klabu hiyo mechi mbili za kirafiki siku ya Jumatano ijayo na Jumapili kabla ya...
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Kocha Maximo awagawa Chambua,Lunyamila