MARCIO MAXIMO ASAINI MKATABA NA YANGA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-1h7YENt4dAs/U6rgCuJqWRI/AAAAAAACkQw/-sPNgwfC-M0/s72-c/maximo3.jpg)
Kocha mkuu wa zamani wa timu ya Taifa, taifa Stars Marcio Maximo
amesaini mkataba wa kuwa kocha mkuu na timu ya Yanga kwa muda wa miaka miwili. makubaliano hayo yamefikiwa jana, wakala anaye mwakilisha Ally Mleh wa kampuni ya Manyara Sports Management amethibitisha hilo.
"Ni kweli kocha Marcio Maximo amekubali kuingia mkataba na timu ya Yanga ambapo anatarajiwa kuanza kazi rasmi tarehe 27/06/2014 ambapo atafuatana na msaidizi wake Leonardo Neiva. Mazungumzo ya makubaliano hayo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo15 Dec
MARCIO MAXIMO AONDOKA YANGA
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/12/maximo-manji-leo.tif.jpg?resize=1600%2C1074)
Habari hizi zinakuja dakika chache baada ya Millardayo.com kuripoti tetesi zinazohusu8 mustakabali wa kocha huyo Mbrazil.Maximo anaondoka Yanga baada ya uongozi wa klabu hiyo kukubaliana naye kuvunja mkataba wake baada ya kushindwa kuelewana juu ya jinsi ya kuiendesha klabu hiyo kwenye masuala ya ufundi .
Yanga ilishikilia msimamo wa kumuajiri mkurugenzi wa ufundi ambaye...
10 years ago
TheCitizen18 Dec
Yanga, Marcio Maximo in row over contract
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Andrey Coutinho amtesa Marcio Maximo Yanga SC
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo,amesema hana uhakika kama Andrey Coutinho atacheza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC, itakayochezwa kesho katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar...
10 years ago
Michuzikadhia ya kocha Marcio Maximo yaibu mazito Yanga!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC14q*aDxLayQr823VYTTF0DgM1dmQgPDu-Xw8ExK-9rT4R*fB3a1IXP*xPBbdumTBi*oqsYt7ZLtnhdrzt0w1tn/YANGA1.gif?width=650)
Yanga yatangaza waliopigwa chini, kisa Marcio Maximo
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1woB2S6sQ1U/U7emH6l6JBI/AAAAAAAFvHg/2SX6wHIPVtI/s72-c/MMGL0008.jpg)
Yanga yaendelea kujifua mchangani chini ya Kocha Marcio Maximo
![](http://1.bp.blogspot.com/-1woB2S6sQ1U/U7emH6l6JBI/AAAAAAAFvHg/2SX6wHIPVtI/s1600/MMGL0008.jpg)
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Tambwe asaini Yanga, Maximo nje
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Marcio Maximo aomba mechi mbili kuwavaa Azam FC
MKUU wa benchi la ufundi la timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, ameomba kwa uongozi wa klabu hiyo mechi mbili za kirafiki siku ya Jumatano ijayo na Jumapili kabla ya...