Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yaendelea kujifua mchangani chini ya Kocha Marcio Maximo

 Wachezaji wa Timu ya Yanga wakiendelea kujifua kwa nguvu zote kwenye Ufukwe wa Bichi ya Barabara ya Ocean Rodi jijini Dar es Salaam mapema leo asubuhi,ikiwa ni katika maandalizi ya mashindano ya ligi kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi hapo Agosti 24 2014.Timu ya Yanga ipo chini ya Kocha aliewahi kuinoa Timu ya Taifa "Taifa Stars" miaka ya nyuma,Kocha Marcio Maximo (wa pili kulia) akiwa na msaidizi wake Leonado Neiva (wa nne kulia) pamoja na Mchezaji wa zamani wa timu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Yanga yatangaza waliopigwa chini, kisa Marcio Maximo

Kocha wa zamani wa Taifa Stars, Marcio Maximo. John Joseph na Wilbert Molandi
IMEFAHAMIKA kuwa ujio wa kocha wa zamani wa Taifa Stars, Marcio Maximo, umezuia ajira ya makocha 45 walioomba nafasi hiyo kwenye Klabu ya Yanga, lakini pia tayari ameshakabidhiwa majukumu ya kufanya usajili. Maximo raia wa Brazil, yupo katika hatua za mwisho za kumalizana na klabu hiyo ya Jangwani kabla ya kutua jijini Dar es Salaam kuusaini mkataba...

 

10 years ago

Michuzi

kadhia ya kocha Marcio Maximo yaibu mazito Yanga!

Timua timua ndani ya Yanga imeibua kadhia kubwa ambapo zaiodi  ya TSh  bilioni 3 ndani ya klabu hiyo zikidawia kuchotwa na kwamba uchunguzi unaendelea. Mwanasheria wa Yanga George Chacha ameiambaia Globu ya Jamii kwamba  pamoja na kuwa ukaguzi bado unaendelea lakini huenda kuna mabilioni ya fedha yakawa yameyeyuka  ndani ya klabu hiyo. Alisema: "Kwa haraka haraka kuna fedha kiasi cha dola 2500 za tiketi ya mke wa aliyekuwa kocha msaidizi  Leonado Neiva, aliyetakiwa atumiwe ili aje, hizo...

 

10 years ago

Vijimambo

MARCIO MAXIMO AONDOKA YANGA

Habari rasmi toka ndani ya klabu ya Yanga zinasema kuwa kocha Mbrazil Marcio Maximo ameondoka ndani ya klabu hiyo .
Habari hizi zinakuja dakika chache baada ya Millardayo.com kuripoti tetesi zinazohusu8 mustakabali wa kocha huyo Mbrazil.Maximo anaondoka Yanga baada ya uongozi wa klabu hiyo kukubaliana naye kuvunja mkataba wake baada ya kushindwa kuelewana juu ya jinsi ya kuiendesha klabu hiyo kwenye masuala ya ufundi .
Yanga ilishikilia msimamo wa kumuajiri mkurugenzi wa ufundi ambaye...

 

11 years ago

Michuzi

MARCIO MAXIMO ASAINI MKATABA NA YANGA.

Kocha mkuu wa zamani wa timu ya Taifa, taifa Stars Marcio Maximo  amesaini mkataba  wa kuwa kocha mkuu na timu ya Yanga kwa muda wa miaka miwili. makubaliano hayo yamefikiwa jana, wakala  anaye mwakilisha Ally Mleh wa kampuni ya Manyara Sports Management amethibitisha hilo.
"Ni kweli kocha Marcio Maximo amekubali kuingia mkataba na timu ya  Yanga ambapo anatarajiwa kuanza kazi rasmi tarehe 27/06/2014 ambapo  atafuatana na msaidizi wake Leonardo Neiva. Mazungumzo ya makubaliano   hayo...

 

10 years ago

TheCitizen

Yanga, Marcio Maximo in row over contract

Young Africans leadership is yet to handover an official termination letter to Brazilian technician, Marcio Maximo, it was learnt yesterday.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Andrey Coutinho amtesa Marcio Maximo Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo,amesema hana uhakika kama Andrey Coutinho atacheza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC, itakayochezwa kesho katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar...

 

11 years ago

GPL

YANGA YAENDELEA KUJIFUA, KUONDOKA KESHO UTURUKI

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo imeendelea na mazoezi ya asubuhi katika viwanja vya hoteli ya Sueno  katika kuendelea kujiweka sawa kabla ya kuanza safari kesho mchana ya kurejea nchini Tanzania tayari kwa mikikimikiki ya mzunguko wa pili wa VPL 2013/2014. Kocha mkuu Hans Van Der Plyum ameendelea kuwaandaa wachezaji wake na kuyafanyia marekebisho kadhaa yaliyojitokeza katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Marcio Maximo aomba mechi mbili kuwavaa Azam FC

MKUU wa benchi la ufundi la timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, ameomba kwa uongozi wa klabu hiyo mechi mbili za kirafiki siku ya Jumatano ijayo na Jumapili kabla ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani