YANGA YAENDELEA KUJIFUA, KUONDOKA KESHO UTURUKI

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo imeendelea na mazoezi ya asubuhi katika viwanja vya hoteli ya Sueno katika kuendelea kujiweka sawa kabla ya kuanza safari kesho mchana ya kurejea nchini Tanzania tayari kwa mikikimikiki ya mzunguko wa pili wa VPL 2013/2014. Kocha mkuu Hans Van Der Plyum ameendelea kuwaandaa wachezaji wake na kuyafanyia marekebisho kadhaa yaliyojitokeza katika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Yanga yaendelea kujifua mchangani chini ya Kocha Marcio Maximo

10 years ago
Michuzi.jpg)
STARS YAENDELEA KUJIFUA SAUZI....
.jpg)
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Mart Nooij amesema vijana wake wanaendelea vizuri na mazoezi, ikiwa leo ni siku ya pili kufanya mazoezi baada ya kufanya mazoezi ya kwanza jana jioni.
Nooii amesema japokuwa kuna hali ya hewa ya baridi katika mji wa Rustenburg, wachezaji wake wameanza kuizoea na kusema kwa kuwa bado kuna zaidi ya...
10 years ago
Michuzi
TWIGA YAENDELEA KUJIFUA KUWAVAA MALAWI

Twiga Stars iliingia kambini Oktoba 29, katika hosteli za Shirikisho zilizopo Karume, ina kikosi cha wachezaji 22 wanaofanya mazoezi asubuhi na jioni katika uwanja wa Karume.
Mchezo dhidi ya Malawi ni mchezo wa kirafiki wa...
10 years ago
Vijimambo
STARS YAENDELEA KUJIFUA ADDIS ABABA

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro kimeendelea kujifua katika uwanja wa Benki ya Biashara ya Ethiopia eneo la CMC asubuhi na jioni katika uwanja wa Taifa wa Addis Ababa. Stars ambayo imeweka kambi jijini Addis Ababa imekua ikijifua mara mbili kwa siku, kuhakikisha wachezaji wanakua vizuri kuelekea katika mchezo dhidi ya timu ya Taifa Misri mwishoni mwa wiki hii jijini Alexandria.

10 years ago
Michuzi
STARS YAENDELEA KUJIFUA JIJINI ADDIS ABABA

Stars ambayo iliwasili jana jioni jijini Addis Ababa imefikia katika hoteli ya Debre Damo iliyopo eneo na 22 Mazoiria ambapo itakaa kambi kwa kipindi cha wiki moja kujiandaa na mchezo dhidi ya Mapaharao.
Kocha Mkuu wa...
10 years ago
Vijimambo
TIMU YA TANZANIA "TAIFA STARS" YAENDELEA KUJIFUA


Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Mart Nooij amesema vijana wake wanaendelea vizuri na mazoezi, ikiwa leo ni siku ya pili kufanya mazoezi baada ya ...
11 years ago
GPLSIMBA YAENDELEA KUJIFUA UWANJA WA KINESI, DAR
10 years ago
Michuzi.jpg)
Taifa Stars yaendelea kujifua tayari kwa kuwakabili Swaziland
.jpg)
.jpg)
.jpg)