Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe asaini Yanga, Maximo nje

Yanga imefanya usajili wa kushtukiza kwa kumsajili Amissi Tambwe aliyeachwa na Simba huku kibarua cha Mbrazili Marcio Maximo kikiwa dakika za mwisho Jangwani.  

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MARCIO MAXIMO ASAINI MKATABA NA YANGA.

Kocha mkuu wa zamani wa timu ya Taifa, taifa Stars Marcio Maximo  amesaini mkataba  wa kuwa kocha mkuu na timu ya Yanga kwa muda wa miaka miwili. makubaliano hayo yamefikiwa jana, wakala  anaye mwakilisha Ally Mleh wa kampuni ya Manyara Sports Management amethibitisha hilo.
"Ni kweli kocha Marcio Maximo amekubali kuingia mkataba na timu ya  Yanga ambapo anatarajiwa kuanza kazi rasmi tarehe 27/06/2014 ambapo  atafuatana na msaidizi wake Leonardo Neiva. Mazungumzo ya makubaliano   hayo...

 

10 years ago

GPL

Ndugu wa Tambwe asaini Simba kwa 21m

Amisi Tambwe. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas TIMU ya Simba imefanikisha usajili wa beki wa pembeni raia wa Burundi, Emiry Nibomana kwa dau la dola 10,000 (zaidi ya shilingi milioni 21). Beki huyo mwenye uwezo wa kucheza namba 2 na 3, tayari alikuwa visiwani Zanzibar ambako timu yake hiyo iliweka kambi kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam, jana. Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka...

 

10 years ago

GPL

Tambwe, Maximo wakutana Dar

Straika Amissi Tambwe. Na Nicodemus Jonas
SIMBA na Yanga wiki hii zinatarajia kuingia kambini kujiandaa na mchezo wa Nani Mtani Jembe utakaopigwa Desemba 13, mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa. Ikumbukwe Simba ndiyo wenye kombe hilo, ambalo walilitwaa msimu uliopita baada ya kuwanyuka wapinzani wao mabao 3-1, huku straika Amissi Tambwe akitupia mawili. Hata hivyo, wakati Kocha wa Yanga, Marcio Maximo akitarajia kutia guu...

 

11 years ago

GPL

Okwi asaini Yanga SC

Na Khatimu Naheka
USAJILI wa kishindo, Yanga imefanya kufuru kwa kufunga dirisha dogo la usajili kwa kumsajili kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Emmanuel Arnold Okwi na ataanza kuichezea klabu hiyo kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.
Okwi, ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uganda, The Cranes, amesaini kuichezea Yanga kwa miaka miwili na nusu na Shirikisho la Soka la Uganda (Fufa) limemuidhinisha rasmi kuwa...

 

10 years ago

GPL

EMERSON ASAINI YANGA

Kiungo mbrazil Emerson De Oliviera Neves Roque (kushoto) akisaini mkataba leo wa kuitumikia klabu ya Young Africans, kulia ni Afisa Habari wa klabu Baraka Kizuguto. Kiungo Emerson De Oliveira Neves Roque leo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu ya Young Africans baada ya benchi la ufundi kuridhika na uwezo wake,na mchezaji mwenyewe kufikia makubaliano hayo ya kuwatumikia watoto wa Jangwani. Baada ya kufanya mazoezi...

 

10 years ago

GPL

Busungu asaini Yanga

Malimi Busungu akisaini mkataba na timu ya Yanga.
Sweetbert Lukonge na Said Ally
YANGA haitaki masihara hata kidogo linapokuja suala la kukiongezea nguvu kikosi chake! Licha ya vijana hao wa Jangwani kuongoza kwa kufunga mabao 52 katika michezo 26 ya Ligi Kuu Bara msimu uliopita, imeamua kumuongeza mchana nyavu mwingine, anaitwa Malimi Busungu ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili akitokea Mgambo JKT. Yanga imeizidi nguvu...

 

11 years ago

GPL

JAJA ASAINI MIAKA 2 YANGA

Jaja akipokea nakala ya mkataba wake kutoka kwa Katibu Mkuu wa Young Africans, Bw. Beno Njovu leo mara baada ya kusaini kuitumikia kwa miaka miwili. Hatimaye mshamabuliaji Geilson Santos Santana "Jaja"  raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miaka miwili (2014-2016) kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika...

 

10 years ago

Mwananchi

Mrwanda asaini mwaka mmoja Yanga

Yanga imefanya usajili wa kushtukiza na kuwawahi wapinzani wao Simba baada ya kumsainisha mshambuliaji mkongwe Danny Mrwanda  mkataba wa mwaka mmoja akitokea Polisi Morogoro.

 

10 years ago

Mwananchi

Tambwe 4, Yanga 8, Julio bure

Yanga imemfunga mdomo kocha wa Coastal Union,  Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ baada ya kuisambaratisha  timu yake kwa  mabao 8-0, huku mabingwa watetezi, Azam wakilazimishwa sare 1-1 na Mbeya City.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani