Busungu asaini Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/-7-17Ut3vwrWXoZ445Q*oID3frNFn8gYszQlQlJUNnrBoE-MuXzrc1Id4ue*1kZ2XBCCZc5l3yvT4X0FOUra2vHc2wYQP68s/1.gif?width=650)
Malimi Busungu akisaini mkataba na timu ya Yanga. Sweetbert Lukonge na Said Ally YANGA haitaki masihara hata kidogo linapokuja suala la kukiongezea nguvu kikosi chake! Licha ya vijana hao wa Jangwani kuongoza kwa kufunga mabao 52 katika michezo 26 ya Ligi Kuu Bara msimu uliopita, imeamua kumuongeza mchana nyavu mwingine, anaitwa Malimi Busungu ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili akitokea Mgambo JKT. Yanga imeizidi nguvu...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen27 Sep
Busungu the hero as Yanga spank Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-2YiV16Uwlx-OTxx40PAq1FjGAtQhAaVxlQAc*hLTk2L0vuGWF1pYrRvSjQw3L7ceYBur27P-rCG5h8A2*w*Ksq/1Dar1copy.jpg?width=650)
Okwi asaini Yanga SC
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct4BimYh7Mj6SXr4lkDv3-zIX*AGe4nyab-KN0-E0*McEd2jPR4ZiVe69KQKEaPCS*ujdCIsLxXIsrCXxKr*7o3B4Laqs7Gq/emerson.jpg)
EMERSON ASAINI YANGA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDrvWcOZ-Ev83-TX6tF6a81kn1bjq76tuFYWe364t6KeL*uSUegATFQCqpioDesPpRA4PcDwcrXY8-xeMZbLgs6D/JAJA.jpg)
JAJA ASAINI MIAKA 2 YANGA
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Mrwanda asaini mwaka mmoja Yanga
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1h7YENt4dAs/U6rgCuJqWRI/AAAAAAACkQw/-sPNgwfC-M0/s72-c/maximo3.jpg)
MARCIO MAXIMO ASAINI MKATABA NA YANGA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-1h7YENt4dAs/U6rgCuJqWRI/AAAAAAACkQw/-sPNgwfC-M0/s1600/maximo3.jpg)
"Ni kweli kocha Marcio Maximo amekubali kuingia mkataba na timu ya Yanga ambapo anatarajiwa kuanza kazi rasmi tarehe 27/06/2014 ambapo atafuatana na msaidizi wake Leonardo Neiva. Mazungumzo ya makubaliano hayo...
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Tambwe asaini Yanga, Maximo nje
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W-BK82a1Gsv29f8EBk5t*LbBpcdhMHYzD1lb1FDE1LvOA2XZ6W8yOXfM8jY52QzjBoMWabtbbk9y3oJRTrvB9onmsNMHPVTp/Msuva.jpg?width=650)
Msuva amkomesha baba yake, asaini miaka miwili Yanga
9 years ago
Habarileo08 Nov
‘Kuondoka kwa Busungu kumeniumiza’
MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya Mgambo JKT inayoshiriki katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Fuluzulu Maganga, amesema kufifia kwa kiwango chake msimu huu kumetokana na kuondoka kwa pacha wake Malimi Busungu aliyejiunga na Yanga msimu huu.