Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJA ASAINI MIAKA 2 YANGA

Jaja akipokea nakala ya mkataba wake kutoka kwa Katibu Mkuu wa Young Africans, Bw. Beno Njovu leo mara baada ya kusaini kuitumikia kwa miaka miwili. Hatimaye mshamabuliaji Geilson Santos Santana "Jaja"  raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miaka miwili (2014-2016) kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Msuva amkomesha baba yake, asaini miaka miwili Yanga

Winga wa Yanga, Simon Msuva. Wilbert Molandi, Dar es Salaam KAMA amemkomesha baba yake mzazi vile, winga Simon Msuva amesaini mkataba mwingine wa miaka miwili ya kuendelea kuichezea Yanga inayojiandaa na Kombe la Kagame, Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika. Awali, baba wa winga huyo, Happygod Msuva, alimzuia mwanaye kusaini mkataba mwingine wa kuendelea kuichezea Yanga, badala yake aende Simba akapate changamoto mpya....

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja aipaisha Yanga

Mshambuliaji wa Genilson Santos ‘Jaja’ ameanza kwa kishindo kibarua chake Yanga kwa kufunga bao pekee wakiichapa Chipukizi 1-0  kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaja amwaga wino Yanga

HATIMAYE Klabu ya Yanga, jana ilimsainisha mkataba wa miaka miwili Mbrazil Geilson Santos Santana ‘Jaja’, wa kukipiga katika kikosi cha timu hiyo kuanzia msimu ujao. Jaja, anakuwa nyota wa pili...

 

11 years ago

GPL

Jaja akataa jezi Yanga

Mshambuliaji mpya wa Yanga, Mbrazili, Genilson Santos Santana ‘Jaja’, Na Wilbert Molandi
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Mbrazili, Genilson Santos Santana ‘Jaja’, ameikataa jezi namba 15 na kuomba 9, atakayoitumia kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara. Awali, jezi hiyo namba 9 ilikuwa ikivaliwa na mshambuliaji raia wa Cameroon, Robert Jama Mba na Reliants Lusajo waliotimuliwa kabla ya Mrisho Ngassa,...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota Yanga wamlilia Jaja

Wachezaji wa Yanga wamepokea kwa mshtuko taarifa ya kuondoka kwa mshambuliaji Genilson Santos ‘Jaja’.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yamkomalia Jaja kortini

Wakati kesi ya aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santos ‘Jaja’ ikipangwa kusikilizwa Machi 10, klabu hiyo imesema itaiomba mahakama kuisikiliza upande mmoja endapo mchezaji huyo atashindwa kwa mara nyingine kutokea mahakamani.

 

10 years ago

TheCitizen

Jaja will add no value, Yanga should recruit more

The attention is on Geilson Santos Santana, a.k.a. Jaja as this season’s Vodacom Premier League gets underway.

 

10 years ago

TheCitizen

Yanga SC retain Okwi, Jaja axed

 Young Africans SC are set to terminate Geilson Santo Santana’s contract, barely a month after the Jangwani Street giants signed him.

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi, Jaja bado waivuruga Yanga

Sinema ya mshambuliaji Emmanuel Okwi imefikia patamu baada ya mabosi wa Yanga kuchanganya akili wamwache yeye au mshambuliaji wao mpya Mbrazili Geilson Santos Santana ‘Jaja’ huku kocha mkuu Mbrazili Marcio Maximo akiwa hataki kabisa kusikia habari za Okwi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani