Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe 4, Yanga 8, Julio bure

Yanga imemfunga mdomo kocha wa Coastal Union,  Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ baada ya kuisambaratisha  timu yake kwa  mabao 8-0, huku mabingwa watetezi, Azam wakilazimishwa sare 1-1 na Mbeya City.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Julio: Tegete ifunge Yanga

Kocha wa Mwadui, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’  amesema mshambuliaji wake Jerryson Tegete amekuwa ‘mtaam kama Mcharo’ lakini  amemtaka kuthibitisha ubora wake kwa kuifunga timu yake ya zamani, Yanga watakayokutana nayo Jumatano ijayo.

 

9 years ago

Mwananchi

Ole wenu Yanga, aonya Julio

Ligi Kuu Tanzania Bara inarejea leo kwa michezo kadhaa, ingawa ule wa Yanga dhidi ya Mwadui, ugenini mjini Shinyanga ndiyo wenye kuvuta hisia za wengi.

 

10 years ago

Mwananchi

Julio: Yanga SC walifanya kosa kumtema Chuji

Kocha wa Mwadui FC , Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema kuwa si Simba wala Yanga kwa sasa yenye kiungo bora  zaidi ya kiungo wake mzoefu, Athumani Idd ‘Chuji’.

 

9 years ago

Habarileo

Julio: Simba, Yanga Azam hao ndio nani?

TIMU ya Mwadui FC imesema haiziogopi timu za Azam, Simba wala Yanga kwani imejipanga kuhakikisha inapambana nazo kuondoka na ushindi.

 

10 years ago

Mwananchi

Tambwe awapa raha Yanga

 Mshambuliaji Amissi Tambwe aliwapa raha mashabiki wa Yanga baada ya jana kuifungia timu yake mabao mawili dhidi ya BDF XI ya Botswana iliyokuwa ikishangiliwa muda wote na mashabiki wa Simba kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

Tambwe: Yanga njooni tuzungumze

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto). Na Hans Mloli
MSHAMBULIAJI wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe, amesema yupo tayari kukaa chini na kufanya mazungumzo na klabu yoyote inayokubali kazi yake uwanjani, ikiwemo Yanga.
Tambwe, raia wa Burundi ambaye mpaka sasa anaongoza kwa kufumania nyavu mara 19 kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara, anazitoa udenda timu nyingi za ligi...

 

10 years ago

GPL

Thamani ya Tambwe Yanga ni kufuru

Mshambuliaji wa Yanga raia wa Burundi, Amissi Tambwe. Sweetbert Lukonge,
Dar es Salaam
SIKU chache baada ya Yanga kumuongezea mkataba mshambuliaji wake raia wa Burundi, Amissi Tambwe, ameibuka na kudai kuwa thamani yake kwa sasa imeongezaka na kuwa miongoni mwa wachezaji wa bei mbaya katika kikosi hicho. Yanga ilimuongezea mshambuliaji huyo mkataba wa mwaka mmoja na nusu kubaki klabuni hapo ambapo ataitumikia mpaka mwaka...

 

9 years ago

Habarileo

Tambwe aongeza majeruhi Yanga

WAKATI kikosi cha Yanga kinatarajia kuingia kambini Jumatatu ijayo kujiandaa na michezo miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayofanyika mkoani Tanga, mshambuliaji Amis Tambwe ameshindwa kuanza mazoezi kutokana na maumivu ya shingo.

 

10 years ago

Mtanzania

Tambwe aanza mavitu Yanga

tm

 

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI mpya wa timu ya Yanga, Mrundi Amis Tambwe, jana alianza kujifua na kikosi hicho huku akionekana kuanza kwa kasi baada ya kuinogesha sehemu ya ushambuliaji ya timu hiyo mazoezini.

Tambwe alifanya uamuzi wa kushtukiza Jumatatu iliyopita baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja Yanga, kufuatia kusitishiwa mkataba wake na viongozi wa Simba.

Katika mazoezi hayo ya Yanga yaliyofanyika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Dar es Salaam, Tambwe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani