Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe aongeza majeruhi Yanga

WAKATI kikosi cha Yanga kinatarajia kuingia kambini Jumatatu ijayo kujiandaa na michezo miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayofanyika mkoani Tanga, mshambuliaji Amis Tambwe ameshindwa kuanza mazoezi kutokana na maumivu ya shingo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TWITE AONGEZA MKATABA YANGA

Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite. Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite leo ameongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga baada ya kufikia makubaliano na uongozi na kupata majibu ya Shirikisho la Soka nchini TFF juu ya idadi ya wachezaji wa kimataifa kwa msimu ujao 2014/2015. Usajili wa Twite umefanyika leo makao makuu ya klabu ya Yanga chini ya Katibu...

 

9 years ago

Mtanzania

Majeruhi waitesa Yanga

755252_heroaNA OSCAR ASSENGA

 

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo itakuwa ugenini katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kukabiliana na wenyeji, Mgambo Shooting huku ikiwa na wachezaji majeruhi wanaowategemea.

 

Wachezaji ambao huenda wakakosekana katika mechi hiyo ni Donald Ngoma na Haruna Niyonzima.

 

Akizungumza jana mjini hapa, Meneja wa timu hiyo, Hafidhi Salehe, alisema kuwa Ngoma atashindwa kucheza mechi hiyo kutokana na kusumbuliwa na majeruhi aliyopata hivi karibuni wakati wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Majeruhi waibomoa Yanga

Zikiwa zimesalia saa 48 kabla ya mchezo wa Ngao ya Jamii, jahazi la Yanga limeanza kuyumba kutokana na kuongezeka kwa majeruhi katika kikosi chake.

 

9 years ago

Mwananchi

Majeruhi Yanga kama Arsenal

Yanga kama Arsenal hivi sasa, ndivyo unavyoweza kusema kwa jinsi ilivyo na rundo la wachezaji majeruhi, jambo  linalompa hofu kocha wake, Hans Pluijm.

 

10 years ago

BBCSwahili

Majeruhi Yanga kuikabili Etoile du Sahel

Mshambuliaji wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho huenda akawa sehemu ya mchezo kati ya klabu yake na Etoile du Sahel ya Tunisia

 

10 years ago

Mwananchi

Tambwe 4, Yanga 8, Julio bure

Yanga imemfunga mdomo kocha wa Coastal Union,  Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ baada ya kuisambaratisha  timu yake kwa  mabao 8-0, huku mabingwa watetezi, Azam wakilazimishwa sare 1-1 na Mbeya City.

 

10 years ago

Mtanzania

Tambwe aanza mavitu Yanga

tm

 

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI mpya wa timu ya Yanga, Mrundi Amis Tambwe, jana alianza kujifua na kikosi hicho huku akionekana kuanza kwa kasi baada ya kuinogesha sehemu ya ushambuliaji ya timu hiyo mazoezini.

Tambwe alifanya uamuzi wa kushtukiza Jumatatu iliyopita baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja Yanga, kufuatia kusitishiwa mkataba wake na viongozi wa Simba.

Katika mazoezi hayo ya Yanga yaliyofanyika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Dar es Salaam, Tambwe...

 

10 years ago

Mwananchi

Tambwe awapa raha Yanga

 Mshambuliaji Amissi Tambwe aliwapa raha mashabiki wa Yanga baada ya jana kuifungia timu yake mabao mawili dhidi ya BDF XI ya Botswana iliyokuwa ikishangiliwa muda wote na mashabiki wa Simba kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

Thamani ya Tambwe Yanga ni kufuru

Mshambuliaji wa Yanga raia wa Burundi, Amissi Tambwe. Sweetbert Lukonge,
Dar es Salaam
SIKU chache baada ya Yanga kumuongezea mkataba mshambuliaji wake raia wa Burundi, Amissi Tambwe, ameibuka na kudai kuwa thamani yake kwa sasa imeongezaka na kuwa miongoni mwa wachezaji wa bei mbaya katika kikosi hicho. Yanga ilimuongezea mshambuliaji huyo mkataba wa mwaka mmoja na nusu kubaki klabuni hapo ambapo ataitumikia mpaka mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani