Majeruhi waitesa Yanga
NA OSCAR ASSENGA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo itakuwa ugenini katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kukabiliana na wenyeji, Mgambo Shooting huku ikiwa na wachezaji majeruhi wanaowategemea.
Wachezaji ambao huenda wakakosekana katika mechi hiyo ni Donald Ngoma na Haruna Niyonzima.
Akizungumza jana mjini hapa, Meneja wa timu hiyo, Hafidhi Salehe, alisema kuwa Ngoma atashindwa kucheza mechi hiyo kutokana na kusumbuliwa na majeruhi aliyopata hivi karibuni wakati wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Sep
Majeruhi waibomoa Yanga
9 years ago
Habarileo04 Dec
Tambwe aongeza majeruhi Yanga
WAKATI kikosi cha Yanga kinatarajia kuingia kambini Jumatatu ijayo kujiandaa na michezo miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayofanyika mkoani Tanga, mshambuliaji Amis Tambwe ameshindwa kuanza mazoezi kutokana na maumivu ya shingo.
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Majeruhi Yanga kama Arsenal
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Majeruhi Yanga kuikabili Etoile du Sahel
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
Usultani waitesa CHADEMA
Mwigamba aibuka tena, ampongeza MsajiliKatibu, viongozi wa kata tisa waachia ngazi
Na waandishi wetu
TUHUMA za ubabe na usultani wa baadhi ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), bado umeendelea kukitesa na kukipasua vipande chama hicho.
Hatua hiyo imetokana na baadhi ya viongozi, akiwemo Mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe, kupigwa ‘stop’ kuwania tena nafasi hiyo baada ya kubainika Katiba ya CHADEMA imechakachuliwa ili kuondoa kipengele cha ukomo wa viongozi.
Tayari Ofisi...
11 years ago
Mwananchi22 May
umaskini waitesa mafia
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Uhalifu wa kimtandao waitesa Polisi
10 years ago
Raia Mwema28 Aug
Wafuasi wa Lowassa waitesa CCM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Mkoa wa Arusha kiko njia panda kutokana na hatua ya baadhi ya wa
Paul Sarwatt
11 years ago
Mtanzania12 Aug
Madaktari bingwa waitesa Serikali

Makao makuu Wizara ya Afya
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
TANZANIA inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu.
Hadi sasa madaktari bingwa waliopo nchini ni watano hali inayowalazimu kufanya kazi kuliko uwezo wao, kwa mujibu wa taaluma ya upasuaji.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Tiba ya Upasuaji wa Mifupa ya Fahamu (MOI), Dk. Othman Kiloloma, alisema hadi sasa kuna madaktari bingwa watano tu wa...