Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


umaskini waitesa mafia

Mafia ni moja ya wilaya zilizoko mkoani wa Pwani. Shughuli nyingi za kiuchumi katika wilaya hiyo zinategemea uvuvi, kilimo cha nazi pamoja na utalii. Hata hivyo shughuli hizo hazijaweza kuondoa hali duni ya maisha ya watu wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Majeruhi waitesa Yanga

755252_heroaNA OSCAR ASSENGA

 

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo itakuwa ugenini katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kukabiliana na wenyeji, Mgambo Shooting huku ikiwa na wachezaji majeruhi wanaowategemea.

 

Wachezaji ambao huenda wakakosekana katika mechi hiyo ni Donald Ngoma na Haruna Niyonzima.

 

Akizungumza jana mjini hapa, Meneja wa timu hiyo, Hafidhi Salehe, alisema kuwa Ngoma atashindwa kucheza mechi hiyo kutokana na kusumbuliwa na majeruhi aliyopata hivi karibuni wakati wa...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Usultani waitesa CHADEMA



Mwigamba aibuka tena, ampongeza MsajiliKatibu, viongozi wa kata tisa waachia ngazi
Na waandishi wetu
TUHUMA za ubabe na usultani wa baadhi ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), bado umeendelea kukitesa na kukipasua vipande chama hicho. 
Hatua hiyo imetokana na baadhi ya viongozi, akiwemo Mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe, kupigwa ‘stop’ kuwania tena nafasi hiyo baada ya kubainika Katiba ya CHADEMA imechakachuliwa ili kuondoa kipengele cha ukomo wa viongozi.
Tayari Ofisi...

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe waitesa CCM

Vigogo sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ambao walipewa onyo kali na kuwekwa chini ya uangalizi kwa miezi 12 wamezidi kukitesa chama hicho, na katika kuwadhibiti, kimetoa maagizo kwa Kamati ya Usalama na Maadili kufuatilia nyendo zao.

 

11 years ago

Mtanzania

Madaktari bingwa waitesa Serikali

Makao makuu Wizara ya Afya

Makao makuu Wizara ya Afya

Na Asifiwe George, Dar es Salaam

TANZANIA inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu.

Hadi sasa madaktari bingwa waliopo nchini ni watano hali inayowalazimu kufanya kazi kuliko uwezo wao, kwa mujibu wa taaluma ya upasuaji.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Tiba ya Upasuaji wa Mifupa ya Fahamu (MOI), Dk. Othman Kiloloma, alisema hadi sasa kuna madaktari bingwa watano tu wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mtandao wa kadi waitesa Takukuru

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kagera, inachunguza mtandao unaohusishwa na ununuaji kadi za wapigakura katika Mji wa Bukoba, baada ya mtuhumiwa mmoja kukamatwa nazo 134.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kiemba, Kisiga waitesa Simba

HATIMA ya wachezaji Amri Kiemba, Haruna Chanongo na Shaabani Kisiga wa Simba kujerea dimbani, bado haijulikani, kutokana na kikao baina yao na Rais wa klabu hiyo, Evance Aveva, kushindwa kuzaa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukata waitesa Mgambo JKT

KOCHA Mkuu wa timu ya Mgambo JKT, Bakari Shime, amesema ukata wa fedha kwa timu yao umekuwa kikwazo kwa benchi la ufundi kutimiza program za kusuka vizuri kikosi ikiwemo kupata...

 

9 years ago

Raia Mwema

Wafuasi wa Lowassa waitesa CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Mkoa wa Arusha kiko njia panda kutokana na hatua ya baadhi ya wa

Paul Sarwatt

 

11 years ago

Mwananchi

Uhalifu wa kimtandao waitesa Polisi

 Polisi nchini wamekiri kuzidiwa ujanja na wahalifu baada ya kubadili mbinu katika kufanya uhalifu huo pamoja na kuongezeka kwa makosa makubwa na madogo yanayofanywa kwa njia ya mtandao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani