Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafuasi wa Lowassa waitesa CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Mkoa wa Arusha kiko njia panda kutokana na hatua ya baadhi ya wa

Paul Sarwatt

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe waitesa CCM

Vigogo sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ambao walipewa onyo kali na kuwekwa chini ya uangalizi kwa miezi 12 wamezidi kukitesa chama hicho, na katika kuwadhibiti, kimetoa maagizo kwa Kamati ya Usalama na Maadili kufuatilia nyendo zao.

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa: Wafuasi wa Ukawa tulieni

ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuungwa mkono na umoja wa vyama vingine vitatu, Edward Lowassa, amewataka wafuasi na wanachama wa vyama hivyo kuendelea kuwa watulivu baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

Habarileo

Wafuasi wa Lowassa Zanzibar wamtosa rasmi

WAJUMBE wa Halmashauri kuu ya CCM pamoja na wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar waliokuwa kambi ya mtia nia ya urais, Edward Lowassa wametangaza kutomfuata kada huyo aliyehamia Chadema na kusema kumuunga mkono mgombea urais aliyepitishwa na chama hicho, John Magufuli.

 

9 years ago

Mtanzania

Masha, wafuasi wa Lowassa watupwa Segerea

NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

SIKU moja baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Laurence Masha, kukamatwa na kulazwa kwenye Kituo cha Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam, amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka kisha kupelekwa katika Gereza la Segerea.

Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, Masha alikamatwa juzi jioni baada ya kufika Kituo cha Polisi Osterbay, kwa lengo la kuwadhamini vijana 19 waliokuwa wamekamatwa kwa madai ya kukusanyika kinyume cha sheria.

Vijana hao...

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa ahimiza wafuasi wampigie kura

MGOMBEA wa urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chadema, Edward Lowassa, amesema haitoshi kwa watu kuendelea kufurika katika mikutano yake pasipo kutia nia ya kumpigia kura ili aweze kuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano.

 

10 years ago

Habarileo

Wafuasi wa Lowassa walia na uamuzi wa Kamati Kuu

Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward LowassaWAFUASI wa aliyekuwa akiwania uteuzi wa CCM kuwa mgombea urais, Edward Lowassa, ambaye hakupata nafasi ya kuwa miongoni mwa wagombea bora watano, wamepaza sauti zao wakionesha kutoridhishwa kwa jina la mgombea huyo kuchujwa katika vikao vya uamuzi.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Edward Lowassa alalamika wafuasi wake kuandamwa na Serkali

Aliyekua mgombea Urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA Mh.Edward Lowassa amelalamikia baadhi ya watendaji wa serikali kwa kuwaandama na kuwatisha wananchi na wafanyabiashara waliokuwa wanaunga mkono vyama vya upinzani na amezitaka idara zinazohusika kuchukua hatua ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima.Akizungumza katika ibada maalum ya kukaribisha mwaka mpya

 

9 years ago

Dewji Blog

LOWASSA apata mapokezi ya Kihistoria Kisiwani Pemba, wafuasi wa UKAWA wafurika kumpokea

unnamed (1) Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwapungia mkono wananchi, wakati akiwa njiani kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015..

..     Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akifurahi jambo na Mgombea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani